Hewa ya ukaa ni hewa inayotokana na vitu mbalimbali hasa Shughuli za kibinadamu kama vile viwanda,usafirishaji,uchomwaji misitu na vichaka wakati wa uandaaji wa Mashamba kwa ajili ya kilimo .
Hewa ya ukaa ni moja kati ya hewa yenye uchochezi mkubwa wa mabadiliko ya tabia ya nchi. Hewa ya ukaa(carbondioxide) ikiwa kwa kiasi kikubwa hewani husababisha ongezeko la joto katika dunia na kusababisha mabadiliko ya tabia ya nchi .
Shughuli za kibinadmu zinazo chochea ongezeko la hewa ya ukaa kwa kiasi kikubwa.
Viwanda. Kutokana na kukua kwa sayansi na teknologia, kila siku viwanda vinafunguliwa kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja mmoja lakini viwanda ni moja ya Shughuli ya kibinadmu inayozalisha hewa ya ukaa kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na kilimo . Ongezeko la viwanda inasababisha ongezeko la hewa ya ukaa hewani hivyo kusababisha mabadiliko ya tabia ya nchi ikiwemo ongezeko la joto katika dunia.
Usafirishaji. Shughuli ya Usafirishaji inahusisha magari,treni,ndege na Meli. Usafirishaji inahusisha kusafirisha watu na bidhaa mbalimbali kutoka sehem moja kwenda sehem nyingne. karibu vyombo vya usafiri vyote vinahusisha Matumiz ya petroli, dizel na mafuta ya taa(fuel kerosene) ambayo ya kiungua kutokana na msuguano hutoa moshi wenye hewa ya ukaa. Hewa ya ukaa ikienda hewani husababisha ongezeko la joto katika dunia na kusababisha mabadiliko ya tabia ya nchi. Shughuli zingne zinazo pelekea ongezeko la hewa ya ukaa ni;
Nini kifanyike kupunguza hewa ya ukaa ili kudhibiti mabadiliko ya tabia ya nchi.

- Kilimo hasa kipind cha uandaaji wa Mashamba wenye kuhusisha uchomaji wa vichaka
- Uchomaji wa misitu
- Uchomaji wa mkaa na matumizi ya kuni kwa kupikia
- Ongezeko la joto Kwenye uso wa dunia
- Kilimo kitaathirika kutoka na ongezeko la joto, ambapo mazao mengi hayawezi kustahimili joto kubwa. Hivyo kiwango cha njaa katika nchi nyingi kitaongezeka Kama saizi katika nchi ya Ethiopia na South Sudan.
- Mafuriko. Ongezeko la joto katika dunia husababisha mvua nyingi zisizo na mpangilio ambayo husababisha mafuriko katika Maeneo mengi dunian kama ilivyo sasa katika bara la Ulaya.
- Kupotea kwa aina mbalimbali za wanyama na mimea. Hii ni kutokana na tabia ya wanyama na mimea kuishi katika Joto la Kawaida kwa hiyo kuongezeka kwa Joto kuna fanya baadhi ya wanyama na mimea isiyostahimili Joto kufa. Pia ecologia inaharibiwa.
Nini kifanyike kupunguza hewa ya ukaa ili kudhibiti mabadiliko ya tabia ya nchi.
- Upandaji wa miti. Miti hufyonza hewa ya ukaa kwa kiasi kikubwa sana pale inapojitengenezea chakula. Upandaji wa miti utasaidia kupunguza hewa ya ukaa dunian kwa kiasi kikubwa sana. Watu wanashauriwa wapande miti angalau mmoja kwene makazi yao.
- Matumizi ya gesi na umeme kwa kupikia.watu wanashauriwa kuacha kutumia mkaa na kuni kwa kupikia kwa sababu mkaa na kuni vinapoungua huzalisha hewa ya ukaa, badala yake watu wanatakiwa kutumia gas na umeme ambavyo hazizalishi hewa ya ukaa.
- Kama inawezekana kutumia gari moja kwa watu hata watano wanaoenda sehem moja ni bora kufanya ivyo kuliko kutumia kila mtu gari lake.kufanya hivyo kunapunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa kwa kiasi kikubwa .
Upvote
1