Hey Kenyans kuja hapa tufanye biashara

Hey Kenyans kuja hapa tufanye biashara

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
28,701
Reaction score
71,056
Nina tausi wengi sana nimefuga, tuwe tunabadilishana, tausi wanne kwa kilo moja ya dhahabu mnasemaje?, eeeh kenyans njooni tufanye biashara
 
Kenyans leo tunawapiga goli 4-1 mmeelewa sasa?
 
Hamna shida ilmradi iwe ni dhahabu zenu, zikija huku tukizikamata tunazirudisha mnatupea tausi. Japo inategemea ni Mkenya yupi amezikamata maana mimi nikiziangukia walahi hamtaziona ng'oo, naziuza na kwenda Mambasani kula bata....hehehehe!!!
Hizo dhahabu zenu zimenufaisha mabeberu sana, wacheni na sisi Wakenya tuzitafune, hao mabeberu akina BArrick wamewazidi kete, juzi wamewaandikia mkataba umekaa ovyoo mkachekelea na kufurahi.
 
Ule sio mkataba we mbwiga
 
Tangu lini mtanzania akaanzisha uzi ambao una maantiki? Kila siku ni kuanzisha uzi uliojaa matope.
 
Ndugu zetu Kenyans niliwaambia tutawapiga goli nne kwa moja lakini mkachukulia utani haya sasa siku nyingine nikiwaambia muwe mnasikia,
 
Back
Top Bottom