MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Nina tausi wengi sana nimefuga, tuwe tunabadilishana, tausi wanne kwa kilo moja ya dhahabu mnasemaje?, eeeh kenyans njooni tufanye biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo tausi kawalishe walakinyesi.Nina tausi wengi sana nimefuga, tuwe tunabadilishana, tausi wanne kwa kilo moja ya dhahabu mnasemaje?, eeeh kenyans njooni tufanye biashara
Hey Kenyans we help each other, let us do businessHizo tausi kawalishe walakinyesi.
Ule sio mkataba we mbwigaHamna shida ilmradi iwe ni dhahabu zenu, zikija huku tukizikamata tunazirudisha mnatupea tausi. Japo inategemea ni Mkenya yupi amezikamata maana mimi nikiziangukia walahi hamtaziona ng'oo, naziuza na kwenda Mambasani kula bata....hehehehe!!!
Hizo dhahabu zenu zimenufaisha mabeberu sana, wacheni na sisi Wakenya tuzitafune, hao mabeberu akina BArrick wamewazidi kete, juzi wamewaandikia mkataba umekaa ovyoo mkachekelea na kufurahi.