Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atakuwa wapi sasa?
Duh kipind hicho npo form wani alafu Honey Faith nmekumis sikuwon ckiz kama mamaafacebook alivopotea jamvini
habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa mamaafacebook kapewa ujauzito katika mazingira ya kutatanisha..
mchakato wa familia kumtafuta msababishaji unaendelea...
Hahahaaaa mkuu ngoja aje atupe ukweli kuhusu ili swala......mkuu ile shuhuri ya kupandisha mlima kilimanjaro tayari maana nmeona picha pande zetu zilee
sijakuelewa hapa mpendwa wangu, ulimaanisha nini?
tatizo lako wewe huwa unafanya mambo yako hadharani, hapo tu ndiyo nakukubaligi.
Duh kipind hicho npo form wani alafu Honey Faith nmekumis sikuwon ckiz kama mamaafacebook alivopotea jamvini
Aaah.. Kipanya Bwana...you made my day. Na kweli wajibu kwa uangalifu...
2007? aisee nlikuwa sijawahi hata kufikiria kuwa ntakanyaga darisalama. Tv yenyewe nlikuwa naiona kwenye magazeti
Inabidi. Unipe shkamoohahaha mimi je 2007 sijui nilikuwa form ngapi hata kitochi nilikuwa sina lol
unawafahamu kwani? one might be you...
kwahiyo mkuu kiwatengu ndio kusema miss chagga kaja town juzi kati tu hapa ? Ila hakuna mahali kama Arusha.