Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeh......
Mamdogo mbona unaguna humjibu Mme wangu...(mkwe)...
huwezi kujibu kila kitu mwanangu
ile juice sinywi mimikipfue...hupendi?
haha acha dharau dogo niamkie
mwaka huo ulikuwa level gani
me to my friend...where a u?
utapanda mlima kili
Nipo shemkwe.... Wanao hawajambo
Duh kipind hicho npo form wani alafu Honey Faith nmekumis sikuwon ckiz kama mamaafacebook alivopotea jamvini
habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa mamaafacebook kapewa ujauzito katika mazingira ya kutatanisha..
mchakato wa familia kumtafuta msababishaji unaendelea...
Hahahahahaha, kumbe ndomana anasinzia ovyo ovyo mara ale ukwaju hahahah hongera