Hello Guys..
I'm looking for the two girls..
Naamini kabisa kama watakuwa hai basi na jamiiforum [chit chat] watakuwa wanaijua...
Majina yao ni Irene yeye alikuwa wa dar, na Admirable girl...wa Arusha!!
Ilikuwa 2007 via EATV live chat..
Tulikuwa tukipeana salamu za hapa na pale..
Nilivyomaliza chuo 2008, sikuweza tena kuchat kupitia tv!! smartphones hazikuwepo(sikuwa nayo) ...
Nawatafuta aisee, niwatambulishe kwa mke wangu!!
Hapa mtakuwepo tu..
admirable utakuwa ni nani?
ni wewe
Preta,
'Valentina', au
black woman!! sidhani kama ni
Lady doctor..possibly kipindi hicho bado alikuwa Themi Primary School STD V
Arusha wing..hapo sitamkosa huyu mtu..
with white heart...nimekumis!!
Irene sijui atakuwa ni nani aisee..
kati ya
Khantwe,
miss neddy,
tinna cute,
Honey Faith,
janeth1,
ICHANA,
Heaven on Earth..
lin..
hawezi kuwa
miss chagga coz naamini kipindi hicho dar alikuwa Anaisikia kwenye newz..
hawezi kuwa
kan'tangaze either coz she was at 10...
MankaM ndiyo kwanza kafungua biashara ya mkaa..texting was expensive
so here there's a simple way of chatting
Welcome!! enzi irejelee...