Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,786
kho kho khoo..... nmepaliwa kidogo!!!! ati nini
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha, kumbe ndomana anasinzia ovyo ovyo mara ale ukwaju hahahah hongera
kho kho khoo..... nmepaliwa kidogo!!!! ati nini
eeenh huyo uncle anaekuja... tutacheza bahati nasibu tumpate baba ake
ahahaha baba ake namjua mimi tu nyie presha za nini
ahahaa shemejii tumie good morning itakusaidia bwana
shem good morning haisaidii.... nmeshtushwa ghafla na hiyo taarifa, mwambie shosti wako basi naye afanye kwel!!! nataman kuitwa baba
cc Mafikizolo
Ahhha miss u jamani
Unapotea sana mumitho
Nipo shemkwe.... Wanao hawajambo
hahah wazima kabisa sasa hivi kila mtu na mji wake atiii
Kumbe wewe ni kizee hivyooo???
....ambacho bado maini hayajazeeka :tongue:
Mhhhhhhhhhh????????
mbona watoa mguno mrefu hivyo bi mkubwaaa...
Huu mguno ni wakukwambia usiku mwema
Huu mguno ni wakukwambia usiku mwema
Kiwatengu upoooHello Guys..
I'm looking for the two girls..
Naamini kabisa kama watakuwa hai basi na jamiiforum [chit chat] watakuwa wanaijua...
Majina yao ni Irene yeye alikuwa wa dar, na Admirable girl...wa Arusha!!
Ilikuwa 2007 via EATV live chat..
Tulikuwa tukipeana salamu za hapa na pale..
Nilivyomaliza chuo 2008, sikuweza tena kuchat kupitia tv!! smartphones hazikuwepo(sikuwa nayo) ...
Nawatafuta aisee, niwatambulishe kwa mke wangu!!
Hapa mtakuwepo tu..
admirable utakuwa ni nani?
ni wewe Preta, 'Valentina', au black woman!! sidhani kama ni Lady doctor..possibly kipindi hicho bado alikuwa Themi Primary School STD V
Arusha wing..hapo sitamkosa huyu mtu..
with white heart...nimekumis!!
Irene sijui atakuwa ni nani aisee..
kati ya Khantwe, miss neddy, tinna cute, Honey Faith, janeth1, ICHANA, Heaven on Earth.. lin..
hawezi kuwa miss chagga coz naamini kipindi hicho dar alikuwa Anaisikia kwenye newz..
hawezi kuwa kan'tangaze either coz she was at 10...
MankaM ndiyo kwanza kafungua biashara ya mkaa..texting was expensive
so here there's a simple way of chatting
Welcome!! enzi irejelee...