Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Waambie hao 🤣🤣🤣Hivi wewe ninani hadi ujue kuwa mie napaswa kuwaa na quality hii au ile mie hunijui hunilishi ,hunivishi,hunit'xxxxmbi sasa huna right yeyote yakuniambia kitu kawape uhusia wale unao wafuck na kuwa potezea muda na kamshahara kako kanjaa mie sio ligi yako kabisa huniwezi sio kwa matunzo tu wala kwa akili unawaza uzwazwa sasa mie nipo 8g wewe hata 3g hujafika . So please one more acha uchawi sio mzuri . Sasa mf. Ukiombwa 100 ml unayo??? Unayo ml 500 yakufungua hotel sisi hatuwazi kufungua viduka ,hapana ambavyo unawafungulia wapuuzi wako noo miye nawaza big things ndio maana siwezi funuliwa sketi yangu na waanga wanjaa sio humu tu kote niendako so kaa kwa kutulia .
Huna quality za kuwa husband you see no quality na hujui namsema nani. Humu hayupo my hubby hayupo kashatoka kitambo anayewaza 20b sio 1m kama wewe jitahidi ufikie huko kuwa na mtu mwenye uelewa sio lazima akununulie nguo hata mie naweza . Na ukiona tunamichepuko ujue wanauwezo wa 500ml hata ukiiba haoni sasa wewe 5ml unafungua uzi. Tulia bhana
Da Mau anawawaza wa 20B sio nyie wa 1m 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️