Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣Baby wake ni nani kwanza tuanzie hapo,ukute ni bebi wetu sote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Baby wake ni nani kwanza tuanzie hapo,ukute ni bebi wetu sote
Amtaje tukamsaidie kupopoa 🤣🤣🤣
Hapana hawajui🤣🤣🤣Baby wake ni nani kwanza tuanzie hapo,ukute ni bebi wetu sote
Hili nalo neno usikute mpenzi wake ni mpenzi wetu 🤭🤣🤣🤣Baby wake ni nani kwanza tuanzie hapo,ukute ni bebi wetu sote
🤣🤣🤣 Humu baby naye ana baby wake🤣🤣🤣Baby wake ni nani kwanza tuanzie hapo,ukute ni bebi wetu sote
Amtaje tuchangamshe kijiwe, tumuite hapa tumuhoji 🤣🤣🤣Amtaje tukamsaidie kupopoa 🤣🤣🤣
Ila da maua jamani
We nusu albinoo tulia, jobless pro max sipendi skendo zao za kijinga.Acha kususa we nusu inteligent
Hilo jina mdogo wangu ujue sipo mbali na ulipo.We nusu albinoo tulia, jobless pro max sipendi skendo zao za kijinga.
👉Mi nashangaa mtu ana zungumza as if ni sehemu ya crew yangu- au tuna socialize aisee!?
Kwa nilivyo leo, jichanganye niku vunje meno.Hilo jina mdogo wangu ujue sipo mbali na ulipo.
Hili jukwaa la burudani, burudika ukiwa siriazi sana utabaki kuwa jobless mpaka unastaafia ujobless
Hapo kwa sisteri usithubutu hata kunyoosha kidole maana hakitanyoosheka.Kwa nilivyo leo, jichanganye niku vunje meno.
👉Kisha uka nishtaki kwa dada ako Joannah 😄😄, mki zingua nawa twanga wote🤣.
I rather remain a jobless my whole life, than being part of nonsense shits.
Kaka una taka kuikataa no fap🤔Mbona kama umeniweka benchi wakati nilikua naupiga mwingi? Unatafuta viungo washambuliaji wengine wa nini sasa? Jinsi navyocheza namba 10 kama De bruyne bado Unataka kuniweka sub?
Nusu albinoo ziki Waka, naeza nika kutwanga ka vitunguu swaumuHapo kwa sisteri usithubutu hata kunyoosha kidole maana hakitanyoosheka.
Acha zako adi masikhara unawaka hivyo au ndio zipo kichwani?
No fap haitakiwi ujichulie sheria mkononi ila ukipewa tunda kulaKaka una taka kuikataa no fap🤔