Rekebisha heading isomeke ATCL na sio ATLC.
Kwanza ni lazima watu waelewe, hizi ndege hazijanunuliwa for commercial purpose. Zimenunuliwa for the sake of national pride! Kutengeneza faida ni secondary motive.
By the way tukishindwa kuziendesha tunaweza kuzikodisha. Biashara ya kukodisha ndege inalipa zaidi kuliko biadhara ya kuziendesha...
Ulisoma sekondari? Civics ulipata ngapi mpaka unashindwa kujua umuhimu wa national pride?Leo ni kwa ajili ya national pride?!
To who?
Y'all maafakaz stop dancing!
Sababu za kitoto mno....
Karne hii mnafanya maamuzi ya kipumbavu kwa sababu za kipumbavu namna hii,hivi mnatumia matak0 kufikiri?
Ulisoma sekondari? Civics ulipata ngapi mpaka unashindwa kujua umuhimu wa national pride?
Hii dhana umeitoa wapi!!! Inafundishwa shule gani!!!Hakuna serikali duniani ilishawahi fanya biashara ikapata faida!
None!
Hii ya Magufuli ndio eti inafanya biashara,what a joke!
Povu,Leo ni kwa ajili ya national pride?!
To who?
Y'all maafakaz stop dancing!
Sababu za kitoto mno....
Karne hii mnafanya maamuzi ya kipumbavu kwa sababu za kipumbavu namna hii,hivi mnatumia matak0 kufikiri?
Hii dhana umeitoa wapi!!! Inafundishwa shule gani!!!
Povu,
Hata huelewi alichoandika huyo unachojua ni kulia tu[emoji16][emoji16].
Mtoa UZI ss unashangaa nn ? kwa kifupi tu ni kwamba ATCL hawakununua ndege wao izo ndege wamepewa tu waziendeshe kibiashara kwa lugha ya kibiashara wamekodishwa na wakala wa shirika la ndege TGFA (Tanzania Government Flight Agency) ss usiogope we bora unaona ndege zinaruka na inapiga biashara as usually na nyingine ipo njiani inakuja
Kuwa bankrupt haimaanishi ndio OVER hahahaha read business cycle ...kuna time ya boom na ku decline