HEY TANZANIANS, WHAT'S GOING ON WITH ATLC

HEY TANZANIANS, WHAT'S GOING ON WITH ATLC

Rekebisha heading isomeke ATCL na sio ATLC.
 
Kwanza ni lazima watu waelewe, hizi ndege hazijanunuliwa for commercial purpose. Zimenunuliwa for the sake of national pride! Kutengeneza faida ni secondary motive.
By the way tukishindwa kuziendesha tunaweza kuzikodisha. Biashara ya kukodisha ndege inalipa zaidi kuliko biadhara ya kuziendesha...
 
Leo ni kwa ajili ya national pride?!

To who?

Y'all maafakaz stop dancing!

Sababu za kitoto mno....

Karne hii mnafanya maamuzi ya kipumbavu kwa sababu za kipumbavu namna hii,hivi mnatumia matak0 kufikiri?
 
Ulisoma sekondari? Civics ulipata ngapi mpaka unashindwa kujua umuhimu wa national pride?

Nilisoma na nilifaulu zaidi yako wewe,na kama unabisha upload tokeo lako hapa!

National Pride ipo kwenye ndege za kununua?

Mbuzi wewe!

National Pride yetu ni kwenye wanyamapori wetu,utu wetu,lugha yetu,maliasili yetu,watu wetu,etc....

Sio mabati uliyonunua kutoka kwenye some random workshop in Canada called Bombadier!

Kirusi wewe!
 
Wenye ndege chakavu na shirika linalopata hasara kila siku wanatokwa na mapovu maskini ya mungu!

Airport mshawakabidhi KQ walau wapate hela ya kuoshea ndege?

ATCL inaumiza watu vichwa, mashirika yanatetemeka tu
 
Leo ni kwa ajili ya national pride?!

To who?

Y'all maafakaz stop dancing!

Sababu za kitoto mno....

Karne hii mnafanya maamuzi ya kipumbavu kwa sababu za kipumbavu namna hii,hivi mnatumia matak0 kufikiri?
Povu,

Hata huelewi alichoandika huyo unachojua ni kulia tu[emoji16][emoji16].
 
Povu,

Hata huelewi alichoandika huyo unachojua ni kulia tu[emoji16][emoji16].

Ni vituko sana unaemwita mtoa povu at the same time wewe pia unatoa povu sasa sijui wewe ni mavi ya wapi wakati wote wawili ni mavi!

This type of thinking you CCM fanboyz are showing is disturbing!

Ni kichaa mzoefu tu anaesema eti "National Pride" ni kipande cha mabati yaliyochomelewa na kujenga ndege ambayo muda wowote ipo gereji..

Unafananisha na "National Pride" ya utu wa watu wa nchi hii ambayo hupati popote pale duniani...

Hivi Civics mlifundishwa na Jiwe?

Mnaudhi,yaani wazazi wenu tumetoa ada msome upumbavu namna hii?
 
Mtoa UZI ss unashangaa nn ? kwa kifupi tu ni kwamba ATCL hawakununua ndege wao izo ndege wamepewa tu waziendeshe kibiashara kwa lugha ya kibiashara wamekodishwa na wakala wa shirika la ndege TGFA (Tanzania Government Flight Agency) ss usiogope we bora unaona ndege zinaruka na inapiga biashara as usually na nyingine ipo njiani inakuja
 
ATCL has GONE BANKRUPT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom