Sawa we subiri tu, nyie mnafikiria Hezbullah imekwisha mnajidangan'ya sana tena sana. We huoni USA na Israel wanavyo itia pressure serekali ya Lebanon wawapokonye silaha. Hivi wewe na kati ya USA na Israel nani anaielewa vizuri Hezbullah. Nikikuambia wewe ni kenge unabisha, we huoni US kaipromise mabillioni serekali ya Lebanon ikawapokonya silaha Hezbullah sa unajua sababu gani au akili zako hazitambui hatari ya Hezbullah, ndio sababu unajidai warushe tu mawe wakione hahaha. We unadhani Israel ana ubavu mbele ya Hezbullah wewe, wanaume wanataka waone serekali ya Lebanon inauwezo gani kupigana na Israel mpaa sasa wanacho fanya Hezbullah ni kujizuia ili serekali ya Lebanon wasipate point kudai Hezbullah hawaku fata sheria za ceasefire. Hezbullah kisha wapa warning serekali ya Lebanon kama hujui, serekali ya Lebanon hawata kubali kuendelea kushambuliwa kama serikali ya Lebanon haiwezi kuzuia mashambulizi ya Israel.