Masikini Magaidi wa Hezbollah waliokuwa wanasifiwa na kurambwa Miguu na akina KIBWENGO Ritz Adiosamigo mdogoye gTurn Sasa hivi wanapigwa na hawadhubuti hata tu kurusha jiwe huko Israel!!!
Ama kweli waswahili wakisema Tembo akisifiwa mgema hulitia maji!!!!!
We subiri sio kila ukirusha mawe mwenzako asipo jibu basi yeye hana mawe, we tulia kuna kitu Hezbullah anataka kuona serekali ya Lebanon itafanya nini kwenye hayo mashambulizi, ili akikianzisha wasimuambie simamisha vita tenaMasikini Magaidi wa Hezbollah waliokuwa wanasifiwa na kurambwa Miguu na akina KIBWENGO Ritz Adiosamigo mdogoye gTurn Sasa hivi wanapigwa na hawadhubuti hata tu kurusha jiwe huko Israel!!!
Ama kweli waswahili wakisema Tembo akisifiwa mgema hulitia maji!!!!!
Rusheni hata jiwe moja tu ili nasi tujue mpo!!!We subiri sio kila ukirusha mawe mwenzako asipo jibu basi yeye hana mawe, we tulia kuna kitu Hezbullah anataka kuona serekali ya Lebanon itafanya nini kwenye hayo mashambulizi, ili akikianzisha wasimuambie simamisha vita tena
Hebu wakumbushe Israel ule mpango wao wa kuwapiga Iran mana naona kama wamejisahaulisha hivi. Waachane na Hizbollah au Hamas wao kama nchi saizi yao Iran sio vikundi vya wanamgamboHilo ni swali au jibu? Waambie warushe hata jiwe moja tu huko Kaskazini mwa Israel Maana huko shule tayari zimefunguliwa toka wiki iliyopita tuone nini kitawapata!!!!
Sawa we subiri tu, nyie mnafikiria Hezbullah imekwisha mnajidangan'ya sana tena sana. We huoni USA na Israel wanavyo itia pressure serekali ya Lebanon wawapokonye silaha. Hivi wewe na kati ya USA na Israel nani anaielewa vizuri Hezbullah. Nikikuambia wewe ni kenge unabisha, we huoni US kaipromise mabillioni serekali ya Lebanon ikawapokonya silaha Hezbullah sa unajua sababu gani au akili zako hazitambui hatari ya Hezbullah, ndio sababu unajidai warushe tu mawe wakione hahaha. We unadhani Israel ana ubavu mbele ya Hezbullah wewe, wanaume wanataka waone serekali ya Lebanon inauwezo gani kupigana na Israel mpaa sasa wanacho fanya Hezbullah ni kujizuia ili serekali ya Lebanon wasipate point kudai Hezbullah hawaku fata sheria za ceasefire. Hezbullah kisha wapa warning serekali ya Lebanon kama hujui, serekali ya Lebanon hawata kubali kuendelea kushambuliwa kama serikali ya Lebanon haiwezi kuzuia mashambulizi ya Israel.Rusheni hata jiwe moja tu ili nasi tujue mpo!!!
Haya unayoandika yametoka kichwani au mataconi?Sawa we subiri tu, nyie mnafikiria Hezbullah imekwisha mnajidangan'ya sana tena sana. We huoni USA na Israel wanavyo itia pressure serekali ya Lebanon wawapokonye silaha. Hivi wewe na kati ya USA na Israel nani anaielewa vizuri Hezbullah. Nikikuambia wewe ni kenge unabisha, we huoni US kaipromise mabillioni serekali ya Lebanon ikawapokonya silaha Hezbullah sa unajua sababu gani au akili zako hazitambui hatari ya Hezbullah, ndio sababu unajidai warushe tu mawe wakione hahaha. We unadhani Israel ana ubavu mbele ya Hezbullah wewe, wanaume wanataka waone serekali ya Lebanon inauwezo gani kupigana na Israel mpaa sasa wanacho fanya Hezbullah ni kujizuia ili serekali ya Lebanon wasipate point kudai Hezbullah hawaku fata sheria za ceasefire. Hezbullah kisha wapa warning serekali ya Lebanon kama hujui, serekali ya Lebanon hawata kubali kuendelea kushambuliwa kama serikali ya Lebanon haiwezi kuzuia mashambulizi ya Israel.
Alichotaka kakipata kuwafyeka wanasayansi wote nuclearHebu wakumbushe Israel ule mpango wao wa kuwapiga Iran mana naona kama wamejisahaulisha hivi. Waachane na Hizbollah au Hamas wao kama nchi saizi yao Iran sio vikundi vya wanamgambo
Nayatoa kwenye shimo la kida we huoni harufu yake kila.mmoja anajua liko wazi.Haya unayoandika yametoka kichwani au mataconi?
Hezbullah ni zaidi ya ulojo wakisaidiwa na mwenzao Houthi!Sawa we subiri tu, nyie mnafikiria Hezbullah imekwisha mnajidangan'ya sana tena sana. We huoni USA na Israel wanavyo itia pressure serekali ya Lebanon wawapokonye silaha. Hivi wewe na kati ya USA na Israel nani anaielewa vizuri Hezbullah. Nikikuambia wewe ni kenge unabisha, we huoni US kaipromise mabillioni serekali ya Lebanon ikawapokonya silaha Hezbullah sa unajua sababu gani au akili zako hazitambui hatari ya Hezbullah, ndio sababu unajidai warushe tu mawe wakione hahaha. We unadhani Israel ana ubavu mbele ya Hezbullah wewe, wanaume wanataka waone serekali ya Lebanon inauwezo gani kupigana na Israel mpaa sasa wanacho fanya Hezbullah ni kujizuia ili serekali ya Lebanon wasipate point kudai Hezbullah hawaku fata sheria za ceasefire. Hezbullah kisha wapa warning serekali ya Lebanon kama hujui, serekali ya Lebanon hawata kubali kuendelea kushambuliwa kama serikali ya Lebanon haiwezi kuzuia mashambulizi ya Israel.