This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Israel hawezi kumshindwa Mwarabu. Hii ya Sasa si operation Bali Ni Vita kamili.Wanapewa dawa au wanapeana, hivi unawajua vizuri Hezbollah? 2006 walienyeshana mwezi mzima, ikabidi mazungumzo yafanyike kumaliza vita!
Hivi ni hao aliowataja mgombea wetu 2005Wanapewa dawa au wanapeana, hivi unawajua vizuri Hezbollah? 2006 walienyeshana mwezi mzima, ikabidi mazungumzo yafanyike kumaliza vita!
Kama habari siyo unatakiwa uerkr link tukajiridhishe wenyewe.Mm nmenukuu shirika la habari la kichina CRI kiswahili. ,Sizani Kama dini inahusika hapo