This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Israel hawezi kumshindwa Mwarabu. Hii ya Sasa si operation Bali Ni Vita kamili.Wanapewa dawa au wanapeana, hivi unawajua vizuri Hezbollah? 2006 walienyeshana mwezi mzima, ikabidi mazungumzo yafanyike kumaliza vita!