Sasa inakuwaje huko gaza ambapo tunaambiwa hamas wamemalizwa huku makomando wa israel kila siku wanauliwa kama jana wanne wamewaishwa kuzimuMazombi yanalipukiwa maskioni huku yakiita alkahu akbar akbar...
Yaani nimependa hii hadi naumwa.
Hamasi hawajamalizwa mazayuni ndo wameisha woteee na vifaa vyakijeshi vilivyotekwa hamasii saiv washavipeleka siryaSasa inakuwaje huko gaza ambapo tunaambiwa hamas wamemalizwa huku makomando wa israel kila siku wanauliwa kama jana wanne wamewaishwa kuzimu
Hujui? Au hufahamu?Lini israel waliomba jeshi la nato hivi kobazi mnafundishwaga ubishi na uwongo wakati rais endogani wa uturuki ndio kawaomba kobazi wote muungane kuipiga israel
Wakiristo wa jf wanachekesha sana. Nikiziona comments zao hucheka sanaSasa inakuwaje huko gaza ambapo tunaambiwa hamas wamemalizwa huku makomando wa israel kila siku wanauliwa kama jana wanne wamewaishwa kuzimu
Kunywa maji mkuu ..naona umehumuka kwa hasira...acha magaidi wafe tu hakuna dawa ya magaidi Zaid ya kifoIsrael alisaidiwa na vibaraka wake pale Lebanon walizi intercepting zile pagers kabla ya kuwafikia Hezbollah, afu waka planting a small of amount of explosive inside them. Kwa hio sio technology kama mnavyo dai huo ni ugaidi, kasaidiana na wanafiki au madui wa Hezbullah kule Lebanon. Kinacho takiwa Hezbullah afatilie camera zilipo fika Lebanon hizo pager nani alizicheck mpaa kurudishwa kwenye mabox, mbona watawanasa kiulaini sana hao wanafiki afu unawapiga risasi hapo hapo.
Wamepata walichokitafutaKwa sasa Israel inajua magaidi wote na wapi wanakaa, ofisi zao etc pamoja na mipango yao. Na inasemekana Watu wawili ambao walishiriki katika manunuzi ya hizo Pagers wameshauwawa siku hizi za Karibuni na Mashambulizi ya Israel. Hizebora wanahitaji zaidi ya mwaka kuwa sawa na kurudi kama walivyokuwa , maana wamekuwa vipofu, vilema wa kukatika mikoni n.k
Intelligence is every thing stay tune"Watu kadhaa wameuawa, maelfu wamejeruhiwa baada ya mlipuko wa mabomu kuikumba Hezbollah. Waliwalenga kimsingi maelfu ya magaidi wa Hezbollah na huenda baadhi ya viongozi wakuu ikiwa ni pamoja na balozi wa Iran nchini Lebanon.
Shukrani kwa wakala Ein Klitah.
Athari ya kisaikolojia ya shambulio hili itaenea ulimwengu wa Kiarabu kama tauni. Hezbollah inaonekana kama mzaha mbele ya ulimwengu mzima, na hivyo pia Iran. Njia ambayo Israeli inaweza kupenya kwa maadui haijawahi kutokea katika vita vya kisasa.
Walipokuwa wanatazama angani wakitafuta miale ya anga, hawakutambua kuwa Wayahudi walikuwa karibu na sehemu zao za siri wakati wote.
Matokeo makuu 3 hapa:
1. Magaidi wengi wamekufa na kujeruhiwa.
2. Mawasiliano ya magaidi yamevurugwa sana.
3. Na kubwa zaidi, adui ataamini kwamba Wayahudi wanaweza kumfikia mtu yeyote popote kwa teknolojia ya kisayansi isiyo ya kawaida. Haithaminiwi!
4. Magaidi wote wana alama ya aibu kwa maisha yao yote.
Lebanon itakuwa na timu nzuri kwa ajili ya Michezo ya Para Olimpiki ya 2028.
Nadhani kuna baadhi ya watu wanaoweza kuita hili “kitendo cha mauaji ya kimbari”. Sababu: Kulipua sehemu za siri za wanaume ambao wanawazuia kuzaa ili wasiweze kuunda watoto zaidi wa Hezbollah."
Kwani ishakuwa movies za Hollywood hadi komando asiuliwe, usiichukulie battle field kiwepesi namna hiyo.. battle field is hell, a chance to survive is almost zero..Sasa inakuwaje huko gaza ambapo tunaambiwa hamas wamemalizwa huku makomando wa israel kila siku wanauliwa kama jana wanne wamewaishwa kuzimu
Kuna uhusiano gani kati ya wakristo na kiendeleacho hapo Israel?Wakiristo wa jf wanachekesha sana. Nikiziona comments zao hucheka sana
Jamaa wanajionea kama miujiza tuView attachment 3099224
Baada ya kuona Israel ina uwezo mkubwa wa kudukua mawasiliano ya simu, Hezbollah walichofanya ni kufikia uamuzi wa kununua vifaa maarufu vilivyotumika miaka ya 90 vinavyoitwa "pagers", vinatumia mawimbi wa redio badala ya minara ya simu au internet.
Wasilojua ni kwamba walikuwa wamefanya kosa kubwa sana, Hio ni teknolojia rahisi zaidi kuidukua, kwa wataalam wa mitandao kama Israel ni kama kumsukuma mlevi.
Mossad kitengo cha intelejensia cha Israel walikuwa wameshapata taarifa hii, kilichofanywa ni Mossad kujifanya ni wauzaji wa hizo pagers na kujiweka kwenye mazingira ya kupata hio tenda.
Mossad wakapewa tenda ya kuwauzia Hezbollah pagers bila wao Hezbollah kujua, Mossad alizi modify hizo pagers kunasa mawasiliano, kunasa location na kuweka vilipuzi ndani yake.
Watu wamekuwa wanashangaa Israel inajuaje sehemu yalipo maghala ya silaha za Hezbollah, Kujua sehemu sahihi za kulipua viongozi wa Hezbollah, n.k. ni kwamba tayari mipango yao walikuwa wanaifuatilia kwenye pagers, haikuwa muujiza.
ukishamaliza kuitumia tishu unaitupa kwenye dustbin, ndicho kilichotokea hivi leo, Hizo pagers zimelipuka kwa mpigo zikiwa viunoni na mifukoni.
Rimoti ilipobonywa Israel, pagers zikaanza kulipuka, Takribani wana hezbolah elf 1 waliozibeba muda huo wamepata majeraha, tisa inaripotiwa wamefariki, wengi wamepata majeraha kwasababu milipuko ilisetiwa kwa tahadhari iwe midogo isifikie watu wengine, "reducing" civillian casualities.
Hali hii imefanya uongozi wa Hezbollah kupiga marufuku kutumia pagers na kuteketeza zilizobaki stoo
View attachment 3099219
Kumbe hizi zilikuwa zinatumiwa tu na hezeb ?
Da!!!!! hezbollah wamegeuzwa MAPUTO!!! ,,,where is iran,turkey and others?View attachment 3099224

myahudi m2 m,badiMyahudi sio mtu mzuri kabisa. Ukiwa adui yake ujiandae hasa maana michezo yote anaijuia..😆😆