Hezbollah waliogopa matumizi ya simu kwa hofu ya Israel kuhack mawasiliano, vifaa mbadala waliuziwa na Israel bila kujua, wamestuka baada ya shambulio

Hezbollah waliogopa matumizi ya simu kwa hofu ya Israel kuhack mawasiliano, vifaa mbadala waliuziwa na Israel bila kujua, wamestuka baada ya shambulio

Mazombi yanalipukiwa maskioni huku yakiita alkahu akbar akbar...
Yaani nimependa hii hadi naumwa.
Sasa inakuwaje huko gaza ambapo tunaambiwa hamas wamemalizwa huku makomando wa israel kila siku wanauliwa kama jana wanne wamewaishwa kuzimu
 
Attachments

  • Screenshot_20240918-113603_Chrome.jpg
    Screenshot_20240918-113603_Chrome.jpg
    423.3 KB · Views: 4
Sasa inakuwaje huko gaza ambapo tunaambiwa hamas wamemalizwa huku makomando wa israel kila siku wanauliwa kama jana wanne wamewaishwa kuzimu
Hamasi hawajamalizwa mazayuni ndo wameisha woteee na vifaa vyakijeshi vilivyotekwa hamasii saiv washavipeleka sirya
 
Sasa inakuwaje huko gaza ambapo tunaambiwa hamas wamemalizwa huku makomando wa israel kila siku wanauliwa kama jana wanne wamewaishwa kuzimu
Wakiristo wa jf wanachekesha sana. Nikiziona comments zao hucheka sana
 
Israel alisaidiwa na vibaraka wake pale Lebanon walizi intercepting zile pagers kabla ya kuwafikia Hezbollah, afu waka planting a small of amount of explosive inside them. Kwa hio sio technology kama mnavyo dai huo ni ugaidi, kasaidiana na wanafiki au madui wa Hezbullah kule Lebanon. Kinacho takiwa Hezbullah afatilie camera zilipo fika Lebanon hizo pager nani alizicheck mpaa kurudishwa kwenye mabox, mbona watawanasa kiulaini sana hao wanafiki afu unawapiga risasi hapo hapo.
Kunywa maji mkuu ..naona umehumuka kwa hasira...acha magaidi wafe tu hakuna dawa ya magaidi Zaid ya kifo
 
Kwa sasa Israel inajua magaidi wote na wapi wanakaa, ofisi zao etc pamoja na mipango yao. Na inasemekana Watu wawili ambao walishiriki katika manunuzi ya hizo Pagers wameshauwawa siku hizi za Karibuni na Mashambulizi ya Israel. Hizebora wanahitaji zaidi ya mwaka kuwa sawa na kurudi kama walivyokuwa , maana wamekuwa vipofu, vilema wa kukatika mikoni n.k
Wamepata walichokitafuta
 
"Watu kadhaa wameuawa, maelfu wamejeruhiwa baada ya mlipuko wa mabomu kuikumba Hezbollah. Waliwalenga kimsingi maelfu ya magaidi wa Hezbollah na huenda baadhi ya viongozi wakuu ikiwa ni pamoja na balozi wa Iran nchini Lebanon.

Shukrani kwa wakala Ein Klitah.

Athari ya kisaikolojia ya shambulio hili itaenea ulimwengu wa Kiarabu kama tauni. Hezbollah inaonekana kama mzaha mbele ya ulimwengu mzima, na hivyo pia Iran. Njia ambayo Israeli inaweza kupenya kwa maadui haijawahi kutokea katika vita vya kisasa.

Walipokuwa wanatazama angani wakitafuta miale ya anga, hawakutambua kuwa Wayahudi walikuwa karibu na sehemu zao za siri wakati wote.

Matokeo makuu 3 hapa:
1. Magaidi wengi wamekufa na kujeruhiwa.
2. Mawasiliano ya magaidi yamevurugwa sana.
3. Na kubwa zaidi, adui ataamini kwamba Wayahudi wanaweza kumfikia mtu yeyote popote kwa teknolojia ya kisayansi isiyo ya kawaida. Haithaminiwi!
4. Magaidi wote wana alama ya aibu kwa maisha yao yote.

Lebanon itakuwa na timu nzuri kwa ajili ya Michezo ya Para Olimpiki ya 2028.

Nadhani kuna baadhi ya watu wanaoweza kuita hili “kitendo cha mauaji ya kimbari”. Sababu: Kulipua sehemu za siri za wanaume ambao wanawazuia kuzaa ili wasiweze kuunda watoto zaidi wa Hezbollah."
Intelligence is every thing stay tune
 
Sasa inakuwaje huko gaza ambapo tunaambiwa hamas wamemalizwa huku makomando wa israel kila siku wanauliwa kama jana wanne wamewaishwa kuzimu
Kwani ishakuwa movies za Hollywood hadi komando asiuliwe, usiichukulie battle field kiwepesi namna hiyo.. battle field is hell, a chance to survive is almost zero..
Kwa mtu ambaye haijui rangi ya medani lazima aichukulie ki Hollywood ama ki Bollywood.
Kufa kwa 4 Askari ni just normal kabisa yaani.
 
Wakiristo wa jf wanachekesha sana. Nikiziona comments zao hucheka sana
Kuna uhusiano gani kati ya wakristo na kiendeleacho hapo Israel?
From what I know,Kuna Muslim, Christians, Jews, Atheists Israelites,
Though Jews surpasses all other religions in term of population..
The truth is,IDF is made up of all religions, Kuna waIslam ambao ni WA Israel kabisa na wapo IDF wanapigania Taifa lao.
Kwa upande wa Palestina wapo wakristu na waIslam lakini Hakuna mkrusto hata mmoja ambaye yupo Hamas.
Kwahiyo unapotoa dondoo jaribu kuangalia na ukweli.
 
View attachment 3099224

Baada ya kuona Israel ina uwezo mkubwa wa kudukua mawasiliano ya simu, Hezbollah walichofanya ni kufikia uamuzi wa kununua vifaa maarufu vilivyotumika miaka ya 90 vinavyoitwa "pagers", vinatumia mawimbi wa redio badala ya minara ya simu au internet.

Wasilojua ni kwamba walikuwa wamefanya kosa kubwa sana, Hio ni teknolojia rahisi zaidi kuidukua, kwa wataalam wa mitandao kama Israel ni kama kumsukuma mlevi.

Mossad kitengo cha intelejensia cha Israel walikuwa wameshapata taarifa hii, kilichofanywa ni Mossad kujifanya ni wauzaji wa hizo pagers na kujiweka kwenye mazingira ya kupata hio tenda.

Mossad wakapewa tenda ya kuwauzia Hezbollah pagers bila wao Hezbollah kujua, Mossad alizi modify hizo pagers kunasa mawasiliano, kunasa location na kuweka vilipuzi ndani yake.

Watu wamekuwa wanashangaa Israel inajuaje sehemu yalipo maghala ya silaha za Hezbollah, Kujua sehemu sahihi za kulipua viongozi wa Hezbollah, n.k. ni kwamba tayari mipango yao walikuwa wanaifuatilia kwenye pagers, haikuwa muujiza.

ukishamaliza kuitumia tishu unaitupa kwenye dustbin, ndicho kilichotokea hivi leo, Hizo pagers zimelipuka kwa mpigo zikiwa viunoni na mifukoni.

Rimoti ilipobonywa Israel, pagers zikaanza kulipuka, Takribani wana hezbolah elf 1 waliozibeba muda huo wamepata majeraha, tisa inaripotiwa wamefariki, wengi wamepata majeraha kwasababu milipuko ilisetiwa kwa tahadhari iwe midogo isifikie watu wengine, "reducing" civillian casualities.

Hali hii imefanya uongozi wa Hezbollah kupiga marufuku kutumia pagers na kuteketeza zilizobaki stoo

View attachment 3099219
Jamaa wanajionea kama miujiza tu
 
Kumbe hizi zilikuwa zinatumiwa tu na hezeb ?

Pager ilikuwa ni kifaa kwa ajili ya Hezbollah tu, maana walikuwa wanakimbia cellular phone kuogopa kudukuliwa.....Wakarudi kutumia Pager za miaka 80/90....Kumbe ni mbaya zaidi.....Hawa Mashia wangepunguza jazba tu na kutumia akili ingewasaidia sana....Kumbuka hata Kamanda Mkuu Fuad Shukr alidanganywa kwa simu, katoka ghorofa ya pili ambayo ilikuwa chini na ngumu kumuua, akapigiwa simu aende ghorafa ya saba...kama zezeta vile kachukua lift kaenda ghorafa ya saba.........alipofika akaenda kukutana na Mola wake.......!
 
View attachment 3099224

Baada ya kuona Israel ina uwezo mkubwa wa kudukua mawasiliano ya simu, Hezbollah walichofanya ni kufikia uamuzi wa kununua vifaa maarufu vilivyotumika miaka ya 90 vinavyoitwa "pagers", vinatumia mawimbi wa redio badala ya minara ya simu au internet.

Wasilojua ni kwamba walikuwa wamefanya kosa kubwa sana, Hio ni teknolojia rahisi zaidi kuidukua, kwa wataalam wa mitandao kama Israel ni kama kumsukuma mlevi.

Mossad kitengo cha intelejensia cha Israel walikuwa wameshapata taarifa hii, kilichofanywa ni Mossad kujifanya ni wauzaji wa hizo pagers na kujiweka kwenye mazingira ya kupata hio tenda.

Mossad wakapewa tenda ya kuwauzia Hezbollah pagers bila wao Hezbollah kujua, Mossad alizi modify hizo pagers kunasa mawasiliano, kunasa location na kuweka vilipuzi ndani yake.

Watu wamekuwa wanashangaa Israel inajuaje sehemu yalipo maghala ya silaha za Hezbollah, Kujua sehemu sahihi za kulipua viongozi wa Hezbollah, n.k. ni kwamba tayari mipango yao walikuwa wanaifuatilia kwenye pagers, haikuwa muujiza.

ukishamaliza kuitumia tishu unaitupa kwenye dustbin, ndicho kilichotokea hivi leo, Hizo pagers zimelipuka kwa mpigo zikiwa viunoni na mifukoni.

Rimoti ilipobonywa Israel, pagers zikaanza kulipuka, Takribani wana hezbolah elf 1 waliozibeba muda huo wamepata majeraha, tisa inaripotiwa wamefariki, wengi wamepata majeraha kwasababu milipuko ilisetiwa kwa tahadhari iwe midogo isifikie watu wengine, "reducing" civillian casualities.

Hali hii imefanya uongozi wa Hezbollah kupiga marufuku kutumia pagers na kuteketeza zilizobaki stoo

View attachment 3099219
Da!!!!! hezbollah wamegeuzwa MAPUTO!!! ,,,where is iran,turkey and others?
 
Back
Top Bottom