baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
That's not the point, wapo ila kwa Uchache, wakimbizi wa Nchi za kiisilamu wapo wengi nchi za kiisilamu that's the point.kwahiyo Ulaya hakuna wakimbiz w kiislam? je wanafuata nn huko ?
na hata Nchi za kiarabu wanapokea watu wa Mataifa yote ukienda UAE kuna Wakristo na Wahindu wa Kutosha tu.
Na Swali unalotakiwa ujiulize nani katengeneza hao wakimbizi? Nani kapiga Iraq? Nani kapiga Afghanistan? Nani kapiga Syria? Nani kapiga libya? Nani Kapiga palestine? Huyo alipiga hizo Nchi ndio abebe Zigo la wakimbizi, kama vile ukitia mtu mimba unatakiwa ubebe mzigo wa kulea aliesababisha hao wakimbizi wawepo yeye awalee simple.