Hezbollah wana nguvu kiasi gani kama Jeshi?

kwahiyo Ulaya hakuna wakimbiz w kiislam? je wanafuata nn huko ?
That's not the point, wapo ila kwa Uchache, wakimbizi wa Nchi za kiisilamu wapo wengi nchi za kiisilamu that's the point.

na hata Nchi za kiarabu wanapokea watu wa Mataifa yote ukienda UAE kuna Wakristo na Wahindu wa Kutosha tu.

Na Swali unalotakiwa ujiulize nani katengeneza hao wakimbizi? Nani kapiga Iraq? Nani kapiga Afghanistan? Nani kapiga Syria? Nani kapiga libya? Nani Kapiga palestine? Huyo alipiga hizo Nchi ndio abebe Zigo la wakimbizi, kama vile ukitia mtu mimba unatakiwa ubebe mzigo wa kulea aliesababisha hao wakimbizi wawepo yeye awalee simple.
 
Wakimbizi hawapelekwi,hujipeleka wenyewe maeneo salama
Na sehemu Salama ni Nchi jirani.

1. Iran na Pakistan ni jirani na Afghanistan na Iraq ndio Maana wana mamilioni ya wakimbizi

2. Uturuki ni jirani na Iraq na Syria ndio Maana wana wakimbizi wengi

Hivyo mtu anakwenda nchi ya karibu kwanza halafu ndio anafkiria sehemu ya kwenda.
 
Acha kutundanganya Hezbollah ni kundi la wanamgambo wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia hao wakristo watokeee wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…