green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Drone ya Hizbollah ililenga chumbani kwa Netanyaho na Mkewe Ilibaki kidogo wamle kichwaUnazingua sasa mimi nikajua jamaa wameliamsha aisee
Wanakimbiza mwizi kimya kimya kelele anapga yeye mwenyewe kupitia cnn, bbc, na channels kibao🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Hizibollah hawana muda wa kuimba taarabu kwenye media kama Israel wao jukumu lao ni kuwachoma moto wanamgambo wa Israel pamoja na vifaa vyao na kuhakikisha wanabaki majivu.🔥
⚡️Wreckage of an Israeli Humvee military vehicle after it was hit by Iranian-made Almas-3 special guided missile launched by Hezbollah.
More than 8 Israeli soldiers were wounded or killed.
Kwahiyo unafurahi?Mazayuni wanachezea kichapo kama walichochezea mashoga zake kwa Taliban, wananyofolewa mdogo mdogo:
View attachment 3132777
Wewe faiza jiandae kufanywa bikra kule kuzimuMazayuni wanachezea kichapo kama walichochezea mashoga zake kwa Taliban, wananyofolewa mdogo mdogo:
View attachment 3132777
Afu kanza vunja majumba kule Lebanon hakuna hata military target, yote hapo ujuwe kisha zidiwa ndio anakimbilia vunja majumba. Israel wanadhani vita unashinda kwa kupiga majumba, wangejifunza kwa Iran alipiga Military Strategy Point, angetaka kuyavunja majumba ya Tela Aviv angeyamaliza yote. Iran ni wanaume aisay hata US alibaki mdomo wazi vitu vilivyo kuwa na shuka kama mvua.Wanakimbiza mwizi kimya kimya kelele anapga yeye mwenyewe kupitia cnn, bbc, na channels kibao
Telaviv,safed, kiryat,sijui wapi,wanalala kwenye mahandaki kila sikuUnazingua sasa mimi nikajua jamaa wameliamsha aisee
Hii mbona imekaa kama game kabisa.!??Mazayuni wanachezea kichapo kama walichochezea mashoga zake kwa Taliban, wananyofolewa mdogo mdogo:
View attachment 3132777
Uko sawa kabisa tena Kwa hawa hezbollah ata sijui ni kitu gani kiliwaingiza kwenye hii vitaHii vita sidhani kama ina faida kwa upande wowote ule zaidi ya kusababisha tu maafa na uharibifu.
Hizibollah hawana muda wa kuimba taarabu kwenye media kama Israel wao jukumu lao ni kuwachoma moto wanamgambo wa Israel pamoja na vifaa vyao na kuhakikisha wanabaki majivu.🔥
⚡️Wreckage of an Israeli Humvee military vehicle after it was hit by Iranian-made Almas-3 special guided missile launched by Hezbollah.
More than 8 Israeli soldiers were wounded or killed.