Hezbolloh hawaongei sana wao ni vitendo tu

Sisi Hezbollah tutaua wanamgambo na magaidi wa IDF kimya kimya na tunapenda sana jinsi wanavyotufichia siri tukiwa tunatekeleza operation zetu
 

Attachments

  • IMG_20241022_214117.jpg
    73.6 KB · Views: 7
Sisi Hezbollah tutaua wanamgambo na magaidi wa IDF kimya kimya na tunapenda sana jinsi wanavyotufichia siri tukiwa tunatekeleza operation zetu
Wakati huo huo Merkava Zinaendelea kuchomwa moto..

⚡️BREAKING:

🇱🇧🇮🇱 Hezbollah claims responsibility of destroying 6 Merkava tanks so far today near Lebanese border which also resulted the casualities among Israeli crews.

Israel has not disclosed any information regarding the number of casualties.
 

Attachments

  • IMG_20241022_214708.jpg
    40.2 KB · Views: 4
Just for your information Radio Genoa ni White supremacist account ambayo mission yake ni ku post Misleading video hasa hasa kwa watu weusi, wanatengeneza video na kuzisambaza.


Mwenyewe unajiona mjanja hapo unaocopy na ku paste na kuwatangaza same people ambao hawataki race yako I exist duniani.

Typical Example ya Divide and Rule.
 
Humvees hua ipo hvo? mbona hiyo ni Jeep
 
Basi walau wawe na uhakika wa ma target zao.

sasa hiyo ya wounded or killed ndio nini sasa gentleman? Hiyo si ni biashara ya pata potea hiyo 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…