Hezbolloh hawaongei sana wao ni vitendo tu

Hiyo gari imenikumbusha BEAT NGU
 
Telaviv,safed, kiryat,sijui wapi,wanalala kwenye mahandaki kila siku
Tofaut ya magaid na mazayuni kuna mmoja wamanchi wanajificha kwenye mahandaki yeye anapambana na kuna mwingine anajificha kwenye mashimo wananchi wanakufa anawaita Marty's title flan ya ujanja ujanja wa kibwege
 
Kujificha kwenye mahandaki kutwa mara tatu sasa hivi
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-22-23-00-53-696.jpg
    403.7 KB · Views: 2

Hata Nasrallah ilikuwa ni majumba tu. Israeli wamefuta Viongozi wote wa Hizbollah, Tena kwenye bunker. Ngoja tuone
 
Ila Kama ni kichapo Israel kawachapa. Kama kule Gaza watu wameshachoka, ipo siku wataigeuka Hamas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…