Hi I Kuna siku tanesco mtaacha kukata umeme?

Hi I Kuna siku tanesco mtaacha kukata umeme?

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
4,606
Reaction score
5,922
Aisee mnazingua Sana yaani daily laza mkate,. umeme
.acheni Mambo hizo.mmekata asubuhi mmerudisha saa kumi na mbili.umekaa dakika tano mmekata Tena.
Kaeni nap basi msirudishw Tena,milele na milele.
Sijui niwatukaneeeeee,,😠😠😠
 
Nawe kuna siku utajitahidi kuandika vizuri na kwa Ufasaha zaidi vitu Kama,"Hi I,,,laza,,Nap"ndio nini mkuu?
 
Unakimbizwa na nani? kwa nini usiandike taarfa iliyokamilika? Weka location yako .
 

Attachments

  • 20241002_140513.jpg
    20241002_140513.jpg
    49 KB · Views: 3
Location kisemvule mbele ya mbagala Hadi Sasa Bado
 
Tunduma kila siku Umeme unakatika zaidi ya mara 10 usiku na mchana.
Watu huko wameshazoea.
 
Back
Top Bottom