Hi ikoje wadau? Nikifanya mapenzi kiuno kinauma

Hi ikoje wadau? Nikifanya mapenzi kiuno kinauma

Nikifanya ngono kiuno huniuma sana mpaka nashindwa kusimama!

Je hii ni hali ya kawaida?

Njia ni moja tu. Tafuta style ambayo wewe utakua umetulia tuli, shughuli yote ya kukatika mwachie mwenzio.

Tena ili utulie sawa sawa uwe unatafuta hata gazeti unasoma au chukua simu fungua JF uperuzi MMU, JLW etc wakati mwenzio anafanya yake
 
Mtu Mwenyewe Huyu Anaeomba Ushauri Mbona Mbishi Sasa Anashauliwa Acha Ngono Anasema Siwezi, Anaambiwa Unajnini Anasema Labda Wewe Ndio Unalo, Nenda Hospitalini Ndio Maana Nikaja Hapa Sasa Hapa Pana Hospitali? Wewe Naona Hauumwi Na Uache Kujiombea Magonjwa Ugonjwa Sio Kitu Kizuli
 
Back
Top Bottom