Hi Kama Nchi tunajisikia je pale mwenzwetu mmoja tu anapopotea?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,403
Reaction score
11,912
Nimekaa leo nikawaza sana tu.

From no where mwenzetu anapotea na hatumuoni tena na watuhumiwa wapo na tunaendelea kukaa nao.

Hii imekaaje wadau? Tuwaambie waache kututeka ama tukatae kushirikiana nao?
 
Wengi sana washapotea na tumeishia kijisikia vibaya na kulaani mkuu kwa sasa tuishie kwanza hapo ila mateso yakizidi tutaangalia hatua inayofuata
 
Mwanadamu ni zaidi ya mnyama.
 
Sisi wenyewe unaonekana majungu tu sembuse mtu usiye mjua?
 
Back
Top Bottom