JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 8,403 Reaction score 11,912 Sep 1, 2026 #1 Nimekaa leo nikawaza sana tu. From no where mwenzetu anapotea na hatumuoni tena na watuhumiwa wapo na tunaendelea kukaa nao. Hii imekaaje wadau? Tuwaambie waache kututeka ama tukatae kushirikiana nao?
Nimekaa leo nikawaza sana tu. From no where mwenzetu anapotea na hatumuoni tena na watuhumiwa wapo na tunaendelea kukaa nao. Hii imekaaje wadau? Tuwaambie waache kututeka ama tukatae kushirikiana nao?
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,492 Reaction score 18,258 Sep 1, 2026 #2 JF Member said: Nimekaa leo nikawaza sana tu. From no where mwenzetu anapotea na hatumuoni tena na watuhumiwa wapo na tunaendelea kukaa nao. Hii imekaaje wadau? Tuwaambie waache kututeka ama tukatae kushirikiana nao? Click to expand... Wengi sana washapotea na tumeishia kijisikia vibaya na kulaani mkuu kwa sasa tuishie kwanza hapo ila mateso yakizidi tutaangalia hatua inayofuata
JF Member said: Nimekaa leo nikawaza sana tu. From no where mwenzetu anapotea na hatumuoni tena na watuhumiwa wapo na tunaendelea kukaa nao. Hii imekaaje wadau? Tuwaambie waache kututeka ama tukatae kushirikiana nao? Click to expand... Wengi sana washapotea na tumeishia kijisikia vibaya na kulaani mkuu kwa sasa tuishie kwanza hapo ila mateso yakizidi tutaangalia hatua inayofuata
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 8,403 Reaction score 11,912 Sep 2, 2026 Thread starter #3 Mkomavu said: Wengi sana washapotea na tumeishia kijisikia vibaya na kulaani mkuu kwa sasa tuishie kwanza hapo ila mateso yakizidi tutaangalia hatua inayofuata Click to expand... Mwanadamu ni zaidi ya mnyama.
Mkomavu said: Wengi sana washapotea na tumeishia kijisikia vibaya na kulaani mkuu kwa sasa tuishie kwanza hapo ila mateso yakizidi tutaangalia hatua inayofuata Click to expand... Mwanadamu ni zaidi ya mnyama.
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,492 Reaction score 18,258 Sep 2, 2026 #4 JF Member said: Mwanadamu ni zaidi ya mnyama. Click to expand... Tena sana aisee
Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 16,680 Reaction score 31,804 Sep 2, 2026 #5 Sisi wenyewe unaonekana majungu tu sembuse mtu usiye mjua?