lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Sheria ya kumtoa mgombea kwenye Uchaguzi kwa sababu ameanza kampeni kabla ya wakati.Hii sheria Ni ya kijinga kabisa. Kwa sababu haieleweki.
Inashidwa kutofautisha Kati ya siasa za kawaida na kampeni. Inashindwa kutofautisha Kati muda wa kufanya siasa za kawaida na kampeni.Haileweki.
Rais akipita barabrani na kutoa ahadi za kuweka maji hiyo Ni kampeni au Ni sehemu ya kazi zake? Ubaya wa sheria hii.
Inanyima Haki za binadamu kwa mamilioni na inaweza inaweza kuleta machfuko. Kwa mfano NEC wakimuengua Lissu kwa kitu kinachoitwa kufanya kampeni kabla ya muda,maana yake watakua wamenyima Hali za watu takriban million kumi wanaompenda Lissu ambao wangemchagua,watu milioni kumi Ni wengi Sana kuwanyima Haki ya kumchagua mtu wanaompenda kwa kijisababu Cha kijinga kabisa eti kuanza kampeni kabla ya muda.
Kunyima Haki za watu takribani million kumi na hatari kwa amani ya nchi. Nimekadiria watu million kumi kuwa wanaweza kumchagua Lissu Kama mfano tu.Ingawa Nina uhakika wanaweza kupungua kidogo au kuzidi. Nina uhakika usio na Shaka Kuna Wana CCM maelfu kwa maelfu wanajiapiza kila siku huku mitaani kuwa kura zao watampa Lissu.
Kuna Wana CCM Ni wafanyakazi,wakulima,wafanyabiashara na wenye mioyo Safi,wameathiriwa pakubwa na uongozi wa awamu hii.
Hawa wote kuwaondolea mgombea wanaemtaka eti kwa kijisheria cha kijinga kuanza kampeni kabla ya muda Ni kuiingiza nchi matatizoni,kunyima Haki za kiraia za kuchagua na kuchaguliwa.
NEC bado hamjachelewa msikubali kuiingiza nchi katika shida kwa ajili ya kijisheria cha kijinga.
NEC tafakarini msiingize nchi hii kwenye machafuko,au mdororo w kiuchumi,uchumi wa Tanzania uko legelege miaka yote,tukijichanganya tu,tutakua dhaifu zaidi ya Congo,Somalia na hata sudani Kusini,achilia mbali Zimbabwe.