Hi siku Kaseja alituchomesha derby sitokaa nisahau

Hi siku Kaseja alituchomesha derby sitokaa nisahau

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kama ulisahau kuna mtu alifanya miujiza siku ya derby Simba na Yanga na hakushangaa hata kilichotokea

Mnaongelea marefa leo hii enzihizo watu walimalizana na wachezaji mapema. Mpira ulipigwaa mh akacchukua mpira akarudisha nyuma anataka kupiga chenga dah wakamalizana nae

Jukwaaa linachekaa tu

Derby oyreeee

Screenshot_20241017-190922_Lite.jpg
 
Back
Top Bottom