elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Kachukue show room kwa 35M mkuuMilioni 12 ndo bei chee?
Milioni 35 nachukua Isuzu journey au coaster mbili na chenji inabaki.Kachukue show room kwa 35M mkuu
Mkuu kitu safi kabisa, kimepigwa rangi safi,Milioni 12 ndo bei chee?
Ni kweli mkuu, hiyo bei ni sawa kabisa ingawa sielewi kwanini Toyota hiace zina bei kuliko Coaster au Isuzu journey bus.Mkuu kitu safi kabisa, kimepigwa rangi safi,
Coaster ni 70m sasa hivi...Milioni 35 nachukua Isuzu journey au coaster mbili na chenji inabaki.
Muongo mkubwa wewMilioni 35 nachukua Isuzu journey au coaster mbili na chenji inabaki.
Mimi nasema kwa uuzaji wa gari used.Coaster ni 70m sasa hivi...
Muongo mkubwa wew
Mkuu umenichekesha sana kidogo nikimbie yaaniMkuu ungetaja aina ya engine na Km zinazosoma hapo basi nadhani itasaidia utauza hiyo gari kwa muonekano ipo vizuri sijajua mashine ipoje...usiwasilikilize wa mtu 35m kupata coaster mbili Tanzania kila mtu angekua na coaster hiyo bajaji tuu 7.5m...
Mkuu hailipi hiyoMimi Nina 7 vipi?
Kila la kheri usisahau kutupa mrejeshoMilioni 35 nachukua Isuzu journey au coaster mbili na chenji inabaki.
Umenena kweli mkuuMkuu ungetaja aina ya engine na Km zinazosoma hapo basi nadhani itasaidia utauza hiyo gari kwa muonekano ipo vizuri sijajua mashine ipoje...usiwasilikilize wa mtu 35m kupata coaster mbili Tanzania kila mtu angekua na coaster hiyo bajaji tuu 7.5m...
Siyo rangi tu kipo vizuri piaMkuu kitu safi kabisa, kimepigwa rangi safi,
Uimara mkuuNi kweli mkuu, hiyo bei ni sawa kabisa ingawa sielewi kwanini Toyota hiace zina bei kuliko Coaster au Isuzu journey bus.
Hiyo gari engine ni 3L.Mkuu ungetaja aina ya engine na Km zinazosoma hapo basi nadhani itasaidia utauza hiyo gari kwa muonekano ipo vizuri sijajua mashine ipoje...usiwasilikilize wa mtu 35m kupata coaster mbili Tanzania kila mtu angekua na coaster hiyo bajaji tuu 7.5m...