Car4Sale Hiace inauzwa bei chee

Car4Sale Hiace inauzwa bei chee

elimuplatform

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,054
Reaction score
462
Ipo katika hali ya kulizisha inafanya kazi, ni kwa bei ya 12M Tegeta - Dsm, ni pm tuzungumze na kubadirishana mawasiliano
1481748024917.png
1481748070345.png
1481748095130.png
1481748113046.png
1481748136010.png
1481748166932.png

Aina ya engine ni CC 2500 petrol 2RZ, imeshatembea km 125,300
 
Mkuu ungetaja aina ya engine na Km zinazosoma hapo basi nadhani itasaidia utauza hiyo gari kwa muonekano ipo vizuri sijajua mashine ipoje...usiwasilikilize wa mtu 35m kupata coaster mbili Tanzania kila mtu angekua na coaster hiyo bajaji tuu 7.5m...
 
Mkuu umenichekesha sana kidogo nikimbie yaani
 
Mkuu ungetaja aina ya engine na Km zinazosoma hapo basi nadhani itasaidia utauza hiyo gari kwa muonekano ipo vizuri sijajua mashine ipoje...usiwasilikilize wa mtu 35m kupata coaster mbili Tanzania kila mtu angekua na coaster hiyo bajaji tuu 7.5m...
Umenena kweli mkuu
 
Hiyo gari engine ni 3L.
 
Back
Top Bottom