Car4Sale Hiace inauzwa bei chee

Car4Sale Hiace inauzwa bei chee

Kachukue show room kwa 35M mkuu

Acha hasira kwenye biashara.

Ukisema gari yako nafuu vinginevyo "kanunue show room" inabidi gari yako nayo iwe iko show room au ina hadhi ya show room, imeshuka nchini majuzi.

Gari yako imepigika hapa Bongo tayari, gari za showroom japo sio mpya lakini angalau zimetoka Kumamoto moja kwa moja ambako abiria hawapandi daladala na virumbesa vya viazi, mikaa, mbuzi, mbolea, mitumba, shisha, pembe za ndovu, maiti!

Tena njia ya Gongo la Mboto! Mbovu ajabu... na hapo hatujui ni kifaa gani kilikushinda ukaweka feki cha Mchina uuze gari uachane na stress.

Kwa hiyo acha hasira, nadi bidhaa yako kwa upole, professionally.
 
Samahani mkuu, Ipo Gongo La Mboto week hii ilikuwa njia ya boko huku, anyway Asante kwa kuniweka sawa
 
Amekuambia ni ya petrol sasa 3L imetokea wapi hapa? Ka hutaki usitukane gari za atu
Nani katukana hapo!?!? 3L ni moja ya engine bora. Na nilikosa hizo details za mwisho ndio maana nikafikiri ni 3L. Sasa sijui hizo BS zako zatoka wapi.
 
Hiace ni gari ngumu na inadumu ila ikiuzwa used na m- bongo unakamatishwa iliyomshinda, bora angekuwa anauza mzungu aliyemaliza mkataba hapa bongo na anarudi kwao !!
 
Mkuu kwani unanunua bila kufanyia majaribio na kukagua, acha ku kremu
 
Ushaipeleka "Body" mara ngapi
Ushaifanyia "Overhaul" mara ngapi?
Ina Vibali vyote valid (Maparo, Road Licence, SUMATRA, Bima)??
 
Back
Top Bottom