Hichi chakula ni kitamu sana aisee

Hichi chakula ni kitamu sana aisee

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Yani kanipikia chakula kitamu hivi kinoma ili kunionyeshea tu, anamakusudi sana huyu dada na anajua kabisa niko single.

Yaani na kanipakulia kiasi sawa na njaa yangu kabisa nikamaliza nimeshiba vizuri navyopenda 😏😏
 
Natamani hata vyuo vifunguliwe kesho mrudi mlikotoka
 
FB_IMG_16586718755657444.jpg
 
Back
Top Bottom