Salam zenu wadau na wataalam wa afya.
Nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo hasa maeneo ya upande wa kulia chini ya mbavu ambapo wataalam wanasema ni maeneo linapokaa INI.
Huwa inatokea Kama kuuma hivi na nikijigusa naskia kabisa Kama kunauma kwa ndani. Lakini pia huwa kuna wakati inanitokea Kama tumbo kuwaka moto Kama ulcers(madonda tumbo) Nilishajaribu kupima bacteria wanaosababisha ulcers Kama Mara mbili lakini nikwamba hawaonekani.
Juzi kati nikaenda kufanya ultrasound majibu yakasema nina gesi tumboni lakini pia Haya maumivu nayoyaskia upande wa INI ni nyongo imejaa, nikaandikiwa dozi ya vidonge vya gesi pamoja na hiyo nyongo kujaa.
Nimetumia nimemaliza ila leo nimeanza tena kuskia Yale maumivu ya upande wa INI.
Kwa wale wataalam naomba msaada wenu itakuwa kitu gani hiki?