Hichi kinachonisumbua ni nyongo kweli?

Hichi kinachonisumbua ni nyongo kweli?

Kijoroo

Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
59
Reaction score
163
Salam zenu wadau na wataalam wa afya.

Nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo hasa maeneo ya upande wa kulia chini ya mbavu ambapo wataalam wanasema ni maeneo linapokaa INI.

Huwa inatokea Kama kuuma hivi na nikijigusa naskia kabisa Kama kunauma kwa ndani. Lakini pia huwa kuna wakati inanitokea Kama tumbo kuwaka moto Kama ulcers(madonda tumbo) Nilishajaribu kupima bacteria wanaosababisha ulcers Kama Mara mbili lakini nikwamba hawaonekani.

Juzi kati nikaenda kufanya ultrasound majibu yakasema nina gesi tumboni lakini pia Haya maumivu nayoyaskia upande wa INI ni nyongo imejaa, nikaandikiwa dozi ya vidonge vya gesi pamoja na hiyo nyongo kujaa.

Nimetumia nimemaliza ila leo nimeanza tena kuskia Yale maumivu ya upande wa INI.

Kwa wale wataalam naomba msaada wenu itakuwa kitu gani hiki?
 
Mkuu itakuwa bado gesi nyingi na asidi ndio inayo kusumbuwa sio ini wala kibofu chanyongo. Kama umekwenda kupima kipimo cha Ultrasound na kimeonyesha unayo gesi kama unayo gesi ndio inayo sababisha asidi nyingi mwilini ndio inayo kusumbuwa tutafute kwa wakati wako ilitupate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Salam zenu wadau na wataalam wa afya.

Nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo hasa maeneo ya upande wa kulia chini ya mbavu ambapo wataalam wanasema ni maeneo linapokaa INI...
umepata umanjano wa macho kabla ya hili tatizo kuanza?
 
Hapana sijawah pata
Unaitaji work out Mkuu!

Mosi,Kuwa na Negative H.Pyroli haimaanishi kuwa hauwezi kuwa na Vidonda vya tumbo.

H.Pyroli anasababisha asilimia 90% na asimilia zinazo baki kuna visababishi vyake.

Upande wa juu wa tumbo kuna viungo vitatu na vyote huleta maumivu yanayoshabiana.

Viungo hivo ni Pancrea(Kongosho), Tumbo, Ini na kifuko cha nyongo(Gallbladder).

Yote haya yanaleta maumivu upande wa juu wa tumbo kwa sababu ndo viungo hivi vilipo.

Nakushauri upate hospitali ambayo wanaweza ku tafiti hayo maeneo.

Kwa kuanza tu je ushafanyiwa Ultrasound ya Ini na Mfuko wa Nyongo kipindi hiki ukiwa unaumwa?

Maana hicho kipimo kiko efficient kwa kiasi chake kama una shida maeneo hayo!
 
Unaitaji work out Mkuu!

Mosi,Kuwa na Negative H.Pyroli haimaanishi kuwa hauwezi kuwa na Vidonda vya tumbo....
Asante kwa ushauri wako mazuri.
Ni wiki mbili sasa toka nifanye kipimo cha ini na ndipo nilipo onekana nyongo imevimba(imejaa) lakini pia ultrasound imeonyesha nina gas tumboni hivyo daktari akaniandikia vidonge vya kupunguza kujaa kwa nyongo lakini pia akaniandikia vidonge vya kupunguza gas.

Nimetumia Dawa kwa muda wa siku7 na toka nimalize dawa kwakwli nakiri kusema maumivu upande wa ini yalokuwa yanasababishwa na nyongo yamepotea ila upande wa gas nadhani bado kwani imekuwa ikinitokea tumbo kuwaka moto na nikimeza vidonge vya kupunguza acid nakuwa sawa.nadhani nahitaji msaada/uchunguzi zaid kwenye upande wa gas.
 
Asante kwa ushauri wako mazuri.
Ni wiki mbili sasa toka nifanye kipimo cha ini na ndipo nilipo onekana nyongo imevimba(imejaa) lakini pia ultrasound imeonyesha nina gas tumboni hivyo daktari akaniandikia vidonge vya kupunguza kujaa kwa nyongo lakini pia akaniandikia vidonge vya kupunguza gas.nimetumia Dawa kwa muda wa siku7 na toka nimalize dawa kwakwli nakiri kusema maumivu upande wa ini yalokuwa yanasababishwa na nyongo yamepotea ila upande wa gas nadhani bado kwani imekuwa ikinitokea tumbo kuwaka moto na nikimeza vidonge vya kupunguza acid nakuwa sawa.nadhani nahitaji msaada/uchunguzi zaid kwenye upande wa gas.
Mtoto wa sister angu anasumbuliwa sana na ugonjwa unaofanana na huo, ingawaje yeye kaambia kibofu cha nyongo, kwa kizungu gallstone. Je, unadhani itakuwa ndo ugonjwa wenyewe?! Kama unadhani inaweza kuwa ndio huo ugonjwa, je hiyo nafuu ulipatia hospitali ipi?

Mkuu Njunwa Wamavoko, vipi unaweza kutia neno hapa?
 
Nami nina hilo tatizo la kibofu cha nyongo japo kiswahili kizuri ni mfuko wa nyongo,kibofu ni kimoja tu Nacho ni kibofu cha mkojo. Kifuko cha nyongo kina matatzo Matatu, yakwanza ni kifuko kujaa,ya pili ni kifuko kuwa na mawe, na yatatu ni kifuko kuziba, sasa je wewe huyo mtoto wa sister wako aliambiwa ana tatzo gani kati ya hayo matatu? Mimi nilikutwa kimejaa nikapewa vidonge nimetumia sasaiv najiskia vizuri.
 
Mkuu Kijoroo shukrani kwa maelezo na masahihisho yako!Nimeongea nae muda si mrefu... hospitali hawaku-specify na badala yake wameishia tu kusema kifuko cha nyongo.

Endapo hutajali, unaweza kunijuza wewe ulienda hospitali ipi ila nasi tukaombe Mungu huko huko?!
 
Mimi nilienda maabara flani ipo mbezi mwisho kwenye round about yakwenda goba.hiyo maabara wanapiga ultrasound so kwa maelezo zaidi njoo PM.
 
Mzee Baba achana na vyakula vinavyosababisha acid kuwa nyingi mwilini maana nyongo ipo kwenye basic media na tumbo lipo kwenye acidic media hivyo acid inapokutana na nyongo kule huweza kulipuka kwa kutoa gesi inayosababosha maumivu hayo

Punguza nyama nyekundu , vinywaji na vyakula vya viwandani hope umenielewa.
 
Mleta Mada usichukue huu ushauri hauna uhalisia kwa asilimia hata 60%
 
Mkuu Kijoroo shukrani kwa maelezo na masahihisho yako!Nimeongea nae muda si mrefu... hospitali hawaku-specify na badala yake wameishia tu kusema kifuko cha nyongo.

Endapo hutajali, unaweza kunijuza wewe ulienda hospitali ipi ila nasi tukaombe Mungu huko huko?!
Unaitaji work out Mkuu!

Mosi,Kuwa na Negative H.Pyroli haimaanishi kuwa hauwezi kuwa na Vidonda vya tumbo.

H.Pyroli anasababisha asilimia 90% na asimilia zinazo baki kuna visababishi vyake.

Upande wa juu wa tumbo kuna viungo vitatu na vyote huleta maumivu yanayoshabiana.

Viungo hivo ni Pancrea(Kongosho), Tumbo, Ini na kifuko cha nyongo(Gallbladder).

Yote haya yanaleta maumivu upande wa juu wa tumbo kwa sababu ndo viungo hivi vilipo.

Nakushauri upate hospitali ambayo wanaweza ku tafiti hayo maeneo.

Kwa kuanza tu je ushafanyiwa Ultrasound ya Ini na Mfuko wa Nyongo kipindi hiki ukiwa unaumwa?

Maana hicho kipimo kiko efficient kwa kiasi chake kama una shida maeneo hayo!
Wewe mtu hebu msikie alishapiga sonography na akapewa maelezo halisi

Pancreatitis inaendana na umri pamoja na ulaji(kilaji) fumbua macho

Tatizo lenu mnaposoma shule mnaosoma kamama mama
Ingia physiology anda pathological effect of acid in the body utaelewa nilikuwa na maanisha nini
 
Back
Top Bottom