= kuajiri
Una mawazo ya kizamani. Mpira ni biashara kama ilivyo kuwa biashara ya utumwa. Huo ni utumwa mambo leo.
Leo unamnunua mtu huyu kesho unamuuza kule na hana ujanja. Mikataba ya kitumwa na uangalizi wa kitumwa wa Kimataifa unafanya watumwa wasiwe na lolote zaidi ya kutii.
Watumwa wa kitanzania hawalipi sana kwa sasa. Ni mmoja mmoja tu wanaelipa. Wengine wakienda kukaguliwa huko nje hawakidhi vigezo. Hasara.
Hakuna mtumwa anaependwa kwa utaifa wake anapendwa kwa kazi yake.
Amini usiamini.