Hichi nini kwenye mwili wangu wataalamu wa X Ray, CT Scan na MRI

Hichi nini kwenye mwili wangu wataalamu wa X Ray, CT Scan na MRI

Folk Part II

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
419
Reaction score
490
Habari wanajamvi natumai mu na afya njema na wale ambao afya imelega kidogo poleni na ugua pole God atabless

Ndugu zanguni nilipiga Ct scan,, naomba kuuliza hiko nimezungushia kwenye picha ni kitu gani wataalamu?

20220524_205513.jpg
20220524_205632.jpg

20220524_205403.jpg
 
ina maana Dr hakukuambia hicho ni nini..? sitak kuamini hujaambiwa chochote hata kama hukuuliza...
Doctor alifanya diagnosis ya tatizo langu la maumivu ya mgongo katikati ya mabega kwa ndani akaniambia hakuna tatizo ingali maumivu ni makali sana,,, hicho ninachoulizia nilikuwa naangalia nikiwa mwenyewe na hapo ndo panapo nisumbua nina ABC za human physiology ingawa sio mtaalam sana na ndo kilichonifanya Nije niulize napa ili nichanganye na uelewa wangu
 
Na mimi ndio ninachojiuliza, au hamuamini aliyempa majibu
No sio kwamba simuamini mkuu Bali ni kwamba Doctor alifanya diagnosis ya tatizo langu la maumivu ya mgongo katikati ya mabega kwa ndani akaniambia hakuna tatizo ingali maumivu ni makali sana,,, hicho ninachoulizia nilikuwa naangalia nikiwa mwenyewe na hapo ndo panapo nisumbua nina ABC za human physiology ingawa sio mtaalam sana na ndo kilichonifanya Nije niulize hapa ili nichanganye na uelewa wangu
 
Kwan docta hakukuambia hicho ni nn jamn
Hicho ninachoulizia hatukuzungumzia Bali Doctor alifanya diagnosis ya tatizo langu la maumivu ya mgongo katikati ya mabega kwa ndani akaniambia hakuna tatizo ingali maumivu ni makali sana,,, hicho ninachoulizia nilikuwa naangalia nikiwa mwenyewe na hapo ndo panapo nisumbua nina ABC za human physiology ingawa sio mtaalam sana na ndo kilichonifanya Nije niulize hapa ili nichanganye na uelewa wangu
 
Back
Top Bottom