Hichi nini kwenye mwili wangu wataalamu wa X Ray, CT Scan na MRI

Hiyo MRI Nimepiga hospital kubwa sana hapa Tz kuliko zote mkuu majibu niliambiwa hawajaona tatizo wakati mimi naumwa ila mungu anasaidia najikuta kesho nimetoboa tu
Angalia isije ikawa tumor...Hata kama ni benign inabidi iondolewe hasa ukizingatia kuwa una maumivu...

Onana na oncologist naye usikie maoni yake japo siamini kama hospitali kubwa daktari amekuacha tu hivi hivi bila kukuambia hicho ni nini kama siyo moyo....

Pole sana mkuu. Naamini Mungu Atakuponya [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nenda hospitali kaka, humu utakutana na bush doctors wakuambie ni ujauzito. Utaishia kuchanganyikiwa bure!
 
sina

sina,,,ma,,,ujuzi,,,mkuuu...ila,,ni,,,,kama,,uvimbe,,kwa,,,maana,,mwili,,ama,,ct,,scan,,za,,kawaida,,hazitakiwi,,,kuwa,,na,,hicho,,kidude,,ni,,kama,,,uvimbe,,na,,ndio,,maana,,ume,,jitokeza,,fanya,,wakutolee,,,,kama,,,kuna,,uwezekano,,mkuuu,,ila,,ndio,,,ubinadamu,,mkuuu,,,be,,strong,,,jikaze,,kiume,,halafu,,pambana,,,haswa,,,bila,,kushindwa,,,au,,kukata,,,tamaaa...j
Kama huna Ujuzi, haina haja ya kumwambia ana uvimbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia isije ikawa tumor...Hata kama ni benign inabidi iondolewe hasa ukizingatia kuwa una maumivu...

Onana na oncologist naye usikie maoni yake japo siamini kama hospitali kubwa daktari amekuacha tu hivi hivi bila kukuambia hicho ni nini kama siyo moyo....

Pole sana mkuu. Naamini Mungu Atakuponya [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ahsante sana mkuu nashukuru kwa kujali tokea kwenye PM yako mkuu ubarikiwe nawe pia
 
sina

sina,,,ma,,,ujuzi,,,mkuuu...ila,,ni,,,,kama,,uvimbe,,kwa,,,maana,,mwili,,ama,,ct,,scan,,za,,kawaida,,hazitakiwi,,,kuwa,,na,,hicho,,kidude,,ni,,kama,,,uvimbe,,na,,ndio,,maana,,ume,,jitokeza,,fanya,,wakutolee,,,,kama,,,kuna,,uwezekano,,mkuuu,,ila,,ndio,,,ubinadamu,,mkuuu,,,be,,strong,,,jikaze,,kiume,,halafu,,pambana,,,haswa,,,bila,,kushindwa,,,au,,kukata,,,tamaaa...j
Ahsante sana mkuu kwa mchango wako mkuu ubarikiwe
 
sina

sina,,,ma,,,ujuzi,,,mkuuu...ila,,ni,,,,kama,,uvimbe,,kwa,,,maana,,mwili,,ama,,ct,,scan,,za,,kawaida,,hazitakiwi,,,kuwa,,na,,hicho,,kidude,,ni,,kama,,,uvimbe,,na,,ndio,,maana,,ume,,jitokeza,,fanya,,wakutolee,,,,kama,,,kuna,,uwezekano,,mkuuu,,ila,,ndio,,,ubinadamu,,mkuuu,,,be,,strong,,,jikaze,,kiume,,halafu,,pambana,,,haswa,,,bila,,kushindwa,,,au,,kukata,,,tamaaa...j
pole kwa kuharibikiwa space bar mkuu
 
Pole Sana ndugu yangu ,

Nakushauri uende Kwa wataalam Kama hutapata msaada humu
 
Pia jaribu kuweka historia fupi ya tatizo lako, unaweza kupata mtu ambaye pia alikuwa na shida kama yako ambaye anaweza kukupa ABC
 
Back
Top Bottom