Folk Part II
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 419
- 490
Nini kilipelekea ukaenda kupiga hiyo CT,shida ilikuwa niniHabari wanajamvi natumai mu na afya njema na wale ambao afya imelega kidogo poleni na ugua pole God atabless
Ndugu zanguni nilipiga Ct scan,, naomba kuuliza hiko nimezungushia kwenye picha ni kitu gani wataalamu?
Sawa mkuuPole Sana, Ngoja Waje Wajuzi
Mbona Inajionyesha mkuu,,,anyway hapo nilipochora ni kifuani na hapo ni mkabara na moyo mkuuHiyo ct scan umepiga kwenye eneo gani la mwili?
Shida ni maumivu ya mgongo katikati ya mabega kwa ndani yani kati ya mgongo moyo na mapafu mkuuNini kilipelekea ukaenda kupiga hiyo CT,shida ilikuwa nini
Ni thymus gland mkuu?Tezi
Shida ni maumivu ya mgongo katikati ya mabega kwa ndani yani kati ya mgongo moyo na mapafu mkuuDuh.. kwann ulifanya scan?
Na mimi ndio ninachojiuliza, au hamuamini aliyempa majibuina maana Dr hakukuambia hicho ni nini..? sitak kuamini hujaambiwa chochote hata kama hukuuliza...
Doctor alifanya diagnosis ya tatizo langu la maumivu ya mgongo katikati ya mabega kwa ndani akaniambia hakuna tatizo ingali maumivu ni makali sana,,, hicho ninachoulizia nilikuwa naangalia nikiwa mwenyewe na hapo ndo panapo nisumbua nina ABC za human physiology ingawa sio mtaalam sana na ndo kilichonifanya Nije niulize napa ili nichanganye na uelewa wanguina maana Dr hakukuambia hicho ni nini..? sitak kuamini hujaambiwa chochote hata kama hukuuliza...
No sio kwamba simuamini mkuu Bali ni kwamba Doctor alifanya diagnosis ya tatizo langu la maumivu ya mgongo katikati ya mabega kwa ndani akaniambia hakuna tatizo ingali maumivu ni makali sana,,, hicho ninachoulizia nilikuwa naangalia nikiwa mwenyewe na hapo ndo panapo nisumbua nina ABC za human physiology ingawa sio mtaalam sana na ndo kilichonifanya Nije niulize hapa ili nichanganye na uelewa wanguNa mimi ndio ninachojiuliza, au hamuamini aliyempa majibu
Hicho ninachoulizia hatukuzungumzia Bali Doctor alifanya diagnosis ya tatizo langu la maumivu ya mgongo katikati ya mabega kwa ndani akaniambia hakuna tatizo ingali maumivu ni makali sana,,, hicho ninachoulizia nilikuwa naangalia nikiwa mwenyewe na hapo ndo panapo nisumbua nina ABC za human physiology ingawa sio mtaalam sana na ndo kilichonifanya Nije niulize hapa ili nichanganye na uelewa wanguKwan docta hakukuambia hicho ni nn jamn
Do you mean what friend?He is in search of a second opinion.