Hichi nini kwenye mwili wangu wataalamu wa X Ray, CT Scan na MRI

Nenda hospitali kubwa usilete mchezo na mwili haunaga spare
Hiyo MRI Nimepiga hospital kubwa sana hapa Tz kuliko zote mkuu majibu niliambiwa hawajaona tatizo wakati mimi naumwa ila mungu anasaidia najikuta kesho nimetoboa tu
 
Hiyo MRI Nimepiga hospital kubwa sana hapa Tz kuliko zote mkuu majibu niliambiwa hawajaona tatizo wakati mimi naumwa ila mungu anasaidia najikuta kesho nimetoboa tu
Angalia isije ikawa tumor...Hata kama ni benign inabidi iondolewe hasa ukizingatia kuwa una maumivu...

Onana na oncologist naye usikie maoni yake japo siamini kama hospitali kubwa daktari amekuacha tu hivi hivi bila kukuambia hicho ni nini kama siyo moyo....

Pole sana mkuu. Naamini Mungu Atakuponya [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nenda hospitali kaka, humu utakutana na bush doctors wakuambie ni ujauzito. Utaishia kuchanganyikiwa bure!
 
Kama huna Ujuzi, haina haja ya kumwambia ana uvimbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana mkuu nashukuru kwa kujali tokea kwenye PM yako mkuu ubarikiwe nawe pia
 
Ahsante sana mkuu kwa mchango wako mkuu ubarikiwe
 
pole kwa kuharibikiwa space bar mkuu
 
Pole Sana ndugu yangu ,

Nakushauri uende Kwa wataalam Kama hutapata msaada humu
 
Pia jaribu kuweka historia fupi ya tatizo lako, unaweza kupata mtu ambaye pia alikuwa na shida kama yako ambaye anaweza kukupa ABC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…