Hidden cancer cures

Labda tukumbushane tunachokijadili ni "Hidden cancer cures"

Cha msingi ni kujitathmini kama je,leo hii ndugu yako au wewe mwenyewe aki/ukipata cancer utajitibu vipi kwa kutumia natural therapy?Je,unajua hata njia moja ya natural therapy itakayokuponya cancer?

Nasema hivi kwa sababu nataka tuwe practical zaidi na pia nataka uzi huu usiwe porojo za vijiweni kama nyuzi nyingine zilivyo,yaani nataka kilichozungumzwa humu kilete faida inayoonekana kwa watu ambao wameshapata elimu hii.Vinginevyo mijadala kama hii itakuwa haina umuhimu tena kama haitaleta faida kwa watu.

Hivi ndivyo mabadiliko yanavyotokea,unasoma kitu,unakielewa,halafu unakifanyia kazi na kinakusaidia kweli.Halafu baada ya hapo unashiriki elimu uliyoipata na wengine ambao hawajui na hatimaye elimu inasambaa kwa watu wengi zaidi.
 
Hakika maneno yako mkuu Deception, mimi binafsi nimeshaanza kuzikusanya mbegu ya Apricot, nimeshawahi kuzila ila ni za uchungu balaa ila ninachotaka kufanya ni kuzisaga na kuzitengeneza vidonge kwa kuchanganya na asali.
Hapo juu nilikuwa nawakumbusha watu walioanza kutoka nje ya mada husika na kujadili mengine.
 
Last edited by a moderator:

Pamoja
 

Hahahahahaha kaka acha tu.....kuna mjinga mwingine eti na yeye kaanzisha thread anasema chanjo wanazopatiwa watoto ni mpango wa wazungu kutuangamiza....jinga kama hilo linatembea na kutype kwa sababu tu mama yake alimpiga chanjo ya polio...nilipoiona hiyo thread kidogo nianguke kwa stress aisee....
 

Ubarikiwe mkuu Deception Asante sana kwa elimu yako ya bure lakini inayotufungua fahamu zetu
 
Last edited by a moderator:

Wakuu nafikiri argument hapa ni hoja kwa hoja ukianza matusi ni dalili ya inferiority complex, yawezekana ukamwona mwenzio ni jinga ila ni vema kuchangia kwa hoja ili wengine wapambanue jinga na akili ni nani : Mtoa mada hajasema utumie bila vipimo, bali soma uelewe na uchukue hatua. haijasema ureject dawa zote za hosp . Je mmesoma na kusikiliza hiyo documentary? Je mna scientific argument za kupinga hoja kwa hoja? Mind you pamoja na usomi wako kuna wengine humu wako vizuri tu na kuandika herbal medicine haimaanishi wameishiwa au ni fukara- maana ukibisha tu ni sawa na ubishi wa dini ambao hauna mwisho.

Tuendelee kukosoa/ kuchangia kwa hoja na sio matusi
 
Mi namshauri Mkuu Deception akimaliza somo la magonjwa yote sugu,aingie na kwenye ugonjwa sugu mwingine wa Umaskini.

Inawezekana tiba mbadala yake ipo pia maana shule haijasidia,dini haijasaidia,ccm ndio kama hivyo.........yaani ni tabu tupu,tunarithishana tu vizazi na vizazi.
 
Kama nilivyosema punde kwamba cha msingi,ili mada/uzi uwe na maana,inabidi kila mtu awe anajua kama leo hii yeye au ndugu yake akipata cancer atafanya nini,hapo ndipo uzi utakuwa na maana.Siwezi kuelezea tiba zote zilizo orodheshwa hapo kwenye uzi kutokana na muda,lakini cha msingi inabidi muelewe kile nilichokwisha elezea, na vile ambavyo nilitaja tu bila kuelezea inabidi mvifuatilie wenyewe dozi yake ikoje.

Kuna link nyingi sana zimeshatolewa na unaweza kutumia ujasiri wako wa kutumia mitandao au hata kuuliza maswali specific.Kwa mfano mdau mmoja napoteza alishazungumzia tiba iliyomtibu baba yake inayojumuisha mambo mengi ambayo mimi nimeshayataja,sasa mnaweza pia kumuuliza hata mkuu napoteza jinsi ya kutumia tiba zile.

Pia nikieleza kila nilichokiandika ninaweza kupunguza wigo wa watu kujishughulisha kujua zaidi.Lakini nadhani nimeshaeleza vya kutosha,labda kama kuna maswali machache kuhusu yale niliyokwishaeleza,lakini vinginevyo tujitahidi kudadisi zaidi na hizo tiba nyingine.Ila hakikisha uzi huu haupiti bila ya kuelewa hata tiba moja ambayo unaweza kuitumia endapo utapatwa na tatizo hili,hapo ndipo uzi utakapokuwa na maana.
 

Mkuu hebu jaribu kujiuliza, Kwanini magonjwa ya Kansa yanaua sana Ulaya na Marekani(Nchi zilizoendelea) ukilinganisha na Afrika ambako tunadanch kwa Ukimwi na Malaria. Jaribu kutumia logic kudadisi hilo swala then unaweza pata kitu.
Nmuamini mtoa Maada
 
mkuu Deception naomba unipe ufafanuzi juu ya matumizi ya hiyo black seed oil(mafuta ya habbat sauda) kama tiba ya saratani
Nilikuwa namaanisha niitumie vipi ili iwe tiba?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unamention vip cz mi mgeni humu
Haya Fanya hivi mfano nataka nikwambie mambo. Naandika mambo afu naweka space, unaweka alama ya @ afu unaandika ID kama ilivyo bila kuruka nafasi baada ya @.

Mambo Rai Pazzy
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…