- Thread starter
- #441
wanasayansi wa marekani 'wamesema' wameweza kutua mwezini since 1960's na sasa wameweza kupeleka chombo Mars 300M miles from earth,lakini tangu kuanzishwa kwa Sloan kettering cancer research Institute mwaka 1890,zaidi ya karne nzima imepita bado wameshindwa kugundua tiba ya cancer?.....bado unaamini hii drama?Dunia ya wanasayansi inahangaika sana na kitu kinaitwa tumour immunology aisee jamaa angejua watu wasivyo lala huko soon na mimi naenda ku join kwenye hizo research i don't know what this man ana try kusema
Najua jinsi utakavyojibu....
Ila jaribu kutafakari hilo na jinsi advancement ilivyo kubwa katika sayansi leo kwenye nyanja mbalimbali kama silaha,mawasiliano,elimu anga,afya nk lakini bado tiba za magonjwa kama cancer bado hazijapatikana...tafakari....
Ukiendelea kuwa naive,jukwaa hili halitakua na maana kwako....jifunze kuhoji.
Kuna watu maarufu na wenye pesa nyingi sana wanatangazwa kufa kwa cancer,hii usiichukulie juu juu,ina agenda ndani yake,na kujua undani wa agenda hii unahitaji mlolongo wa uelewa katika nyanja nyingi....
Jitahidi kujifunza nje ya mainstream.