Hidden cancer cures

Mkuu Danga habari ya siku,,vp maendeleo ya ndg.yetu uliyesema anasumbuliwa na cancer,,kama hutojali tupe feedback.!
 
Daah magonjwa yote haya? Tutapona kweli?
 
Mkuu hapo kwenye maandishi mekundu nisaidie dawa za asili zinazoweza kumaliza hilo tatizo sababu Uric Acid imekuwa tatizo kwangu kwa muda mrefu

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
Pole sana ndugu. Ntapenda kujibu au kuchangia kwenye hilo though ulimuuliza mdau mwingine. Pia nijibu kwa uelewa wa tatizo nnalolijua mm yaani kuwa na acid nyingi tumboni naamini hili ndio tatizo lako. Kwa kifupi tatizo hilo hutibiwa na kumalizwa kabisa na limao.

Tumia dozi ya limao moja kila siku asubuh kabla ya kula kitu chochote itasaidia kubalance PH ya mwil wako kwa kuongeza alkaline. Hii pia itakusaidia kupunguza uwezekana wa kushambuliwa na cancer kwani cancer inakaa kwenye mwil wenye acid nyingi.
 
Namba 12 inatumikaje kama tiba? Msaada tafadhali wadau wasaidie wagonjwa lakini pia waongeze kipato.
 
Kumbuka kwamba mbegu yake ndio tiba yenyewe angalau tunda lenyewe ni muhimu pia.Wenzako wakitupa mbegu,wewe waelimishe kwamba mbegu ni muhimu,wakidharau,wewe zikusanye mbegu hizo kwa matumizi yako.
Mbegu zake ni ngumu balaa
Unazipasuaje
 
Wakuu huu uzi ni mtamu sana

Watu wa medicine wana kazi ya kufanya mapinduzi kwenye industry yao
 

Shukrani kwa elimu.
 
Unabisha bila point, c ajabu ndo maana mwapasua watu vichwa badala ya tumbo???? Hata kama anadanganya toa point Za kumkanusha sio kupiga kelele hapa.
Hizo point za kukanusha anazo basi.
 
Unajua chochote kuhusu tumour microenvironment

Dysplastic changes znavyotokea unafahamu

Interactions zake na body immunity

Kweli kitunguu ki interfere na NF-kb hebu njoo hapa tudiscuss hiili mkuu

Nmekua interested ghafla
 
Unazjua receptor za tetrahydrocanabinol zpo kwenye ubongo tu na zinaitwa CB-17
itaenda kutibu sehemu zingne za mwili kusiko na receptor unajua kweli how drugs work chief.. I am eager to learn inawezekana una magunduzi ya ajabu hatarii
 
Dunia ya wanasayansi inahangaika sana na kitu kinaitwa tumour immunology aisee jamaa angejua watu wasivyo lala huko soon na mimi naenda ku join kwenye hizo research i don't know what this man ana try kusema
 
Unajua chochote kuhusu tumour microenvironment

Dysplastic changes znavyotokea unafahamu

Interactions zake na body immunity

Kweli kitunguu ki interfere na NF-kb hebu njoo hapa tudiscuss hiili mkuu

Nmekua interested ghafla
Mkuu hili suala limeshakuwa discussed sana hapa na huyu jamaa,hivyo kumuita tena mjadili wakati walishajadili naona kama kurudisha mjadala nyuma

Hivyo nadhani wewe ungekanusha hoja zake alizozitoa huko juu katika comment mbalimbali kuliko kuanza tena upya wakati yeye alishamaliza kazi ya kujadiliana na watu humu.

Lakini pia naomba mjadili kwa lengo la sisi malayman kuelewa zaidi na kujua yupi anazo hoja sio kujadili kwa lengo la kuonesha umwamba
 
Wewe ni nani kunipangia muda wa kujibu?.

Kama ndo naiona mada leo

We jamaa vipi ebu niache aisee
 
Achana na mimi

Hujaja kiheshima kabsa like unanipangia rubbish stupid kabsa
Nmemind

Kama kuna sehemu hujaelewa si ungeuliza... Nmesoma comment zote naweka vitu right unaleta upumbavu wako hapa
 
Achana na mimi

Hujaja kiheshima kabsa like unanipangia rubbish stupid kabsa
Nmemind

Kama kuna sehemu hujaelewa si ungeuliza... Nmesoma comment zote naweka vitu right unaleta upumbavu wako hapa
Ok sawa pole sana daktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…