Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

Siku wananchi tukiacha woga hawa majambawazi watakuwa magereza
Mnaanza kujiandaa kuuza na huko kwa mwarabu
Waje hao waarabu mikoani huku watajua hawajui
 
Tera Carbon au TerraCarbon?
Well Noted !!!

Sasa huko TerraCarbon na washika Nyundo ndo Sisi.....

Ni mradi mmoja tu uliofanikiwa Tanzania na Zambia

Sasa hayo Mapori mlio mpa Mwarabu mtatobowa?.....Teh teh teh labda Ujangili

Mmezuia Wadau wanao shirikiana na WaTanzania huko TFS ili kuwakirimisha vilemba.....
 
Iko wapi hii?
Aisee kumbe kweli kabisa, ukitoka Nyakanazi kuja Kahama Iko hapo Katikati! Siku moja kama miezi miwili nilikua narudi Dar, safari ilikua ya Ghafla kwahio nikapata lory la mizigo, wakati tunapita eneo hilo ndio Dereva wa lory akawa anaeleza hio kitu na akapunguza mwendo akaonyesha na tents ambazo zimehifadhiwa.

Kwa jambo hili naweza kuthibitisha hata Yale madai yake mengine kuwa Kampuni ya GBP Ina mkono wa MTU mkubwa saaaaana huko serikalini.
 
Unaijua NCMC iliyopo SUA?
Mbona washika nyundo nyinyi hatuoni kuwa muko registered?
 
Wewe unasema sababu za kuepo dhahabu wakati pale wanasema ni kwasbb ya mgogoro ya aridhi na wana nchi, wewe ulitaka wananchi watomliwe?
Sasa Kwa akili yako watasema kwasababu Kuna dhahabu? Kufanya kuwa msitu wa hifadhi kunaondoaje huo mgogoro wa ardhi?
 
[emoji288]In the new scramble for Africa's forests, deals being made by #UAE companies at #COP28 in Dubai risk perpetuating neocolonial exploitation of African carbon credits with little benefit for Africans. [emoji383]#Neocolonialism
 
Usissahau, alipokuwa michezo alipendekeza ZFA iwe inatengewa fungu la fedha toka serikali ya muungano.
 
Unaijua NCMC iliyopo SUA?
Mbona washika nyundo nyinyi hatuoni kuwa muko registered?
Baada ya kuona Wananchi wana nufaika Moja kwa Moja kutoka kwa Makampuni ya Hewa ya Ukaa nongwa ikaingia kwa walafi ndo kuanzishwa kwa hiyo ninini

Hapo kwenye hilo dawati mnasubiri Kusindikiza na kuomba rushwa .....

Taasisi nzima mmeshindwa hata kwenda huko Itigi Thickets kwenda kuanzisha Mradi wa Carbon emissions offset ....mnakalia kusajili vilemba

Eti registration....TPRI Taasisi kubwa Kusini mwa Jangwa la Sahel ilikufa kwa sababu ya kuendekeza matumbo mfano hapo

Huko Duniani Makampuni hayanunui Carbon kutoka maeneo yenye UCHAFU(°Migogoro)

Dunia Kijiji jombaa.....
 
[emoji288]In the new scramble for Africa's forests, deals being made by #UAE companies at #COP28 in Dubai risk perpetuating neocolonial exploitation of African carbon credits with little benefit for Africans. [emoji383]#Neocolonialism
Well done Mkuu 100%

Hawa jamaa wamepita kila nchi na kuhonga honga huko juu...nawanao kula hizo fedha hawajuwi ni SUMU
 
Safi sana Diip DAIVA!!!

Tuendelee Kufukuwa tu na link
 
Taarifa;
2005 ilipewa leseni kufanya utafiti wa madini hadi 2010.

Ikaja kuongezewa muda hadi 2012.
Muda ukaisha.

Na hapo sheria tayari ilishapitishwa 2009.

Cha ajabu zaidi mwaka 2013 ikapewa leseni ianze uchimbaji.

Nadhani umeelewa.
Timeline,2005 imepewa leseni ya utafiti..2005 rais nani!?..kampuni ikipewa leseni ya utafiti haiishii kwenye utafiti tu,leseni ya mpaka 2010 ilipewa na serikali ya mkapa,Leo unashutumu kuwa ni kampuni ya jakaya!!..huo wazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…