High Court temporarily suspends all flights from China amid Corona Virus. Uhuru issues Executive Order on coronavirus, sets up taskforce

High Court temporarily suspends all flights from China amid Corona Virus. Uhuru issues Executive Order on coronavirus, sets up taskforce

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
The High Court has temporarily suspended flights from China.

Justice James Makau issued the ruling following a case filed by the Law Society of Kenya.
He said the matter is of great public interest.

In the second file, Justice Makau issued an order preventing Health CS, Transport CS, Foreign Affairs CS, the AG and the Kenya Airport Authority from letting into the country any person from China through the air or sea.

The same orders are also applied to any other WHO-designated hot spot country that is adversely affected by the virus.

The three CSs have also been compelled to trace, account, re-examine, and quarantine in a KDF facility all the 239 passengers that they let into the country aboard a Chinese flight that landed at JKIA on February 26.

Health, Transport, Foreign CS have been ordered to trace 239 passengers who boarded Chinese flight.
On Friday, President Uhuru Kenyatta formed a taskforce to deal with a possible outbreak of coronavirus.

The President through an Executive Order on Friday said the team will coordinate Kenya's preparedness, prevention and response to the threat of the disease.

Uhuru said they will also enhance surveillance at all ports and points of entry to Kenya.

The President also ordered that Mbagathi hospital coronavirus section be completed within seven days.

This was after the ministry of health Chief Administrative Secretary Rashid Aman said they have also identified an open ward with 120 beds at Mbagathi County Hospital in Nairobi but will need a month to prepare it.


Uhuru issues Executive Order on coronavirus, sets up taskforce
President Uhuru Kenyatta has issued an Executive Order following the escalating number of coronavirus cases around the world that also pose a risk to Kenya.

According to him, Kenya is an international transport hub with 70% of passengers in transit.

“There is a significant threat arising from the potential spread of the coronavirus to Kenya from countries that have new and ongoing outbreaks of the pneumatic disease,” his statement reads.

The taskforce is to be comprised of the Health CS and counterparts from Defense, Foreign Affairs, ICT and Transport.

Other members are Principal Secretaries and Directors from different ministries.

They are to coordinate preparedness, prevention and response as well as coordinate capacity building of health workers.

The taskforce will also be expected to ensure enhanced surveillance at all entry points into Kenya and coordinate supply of testing kits, protective gear and other medical equipment.

President Kenyatta further ordered that the national isolation and treatment facility at Mbagathi Hospital be completed and ready to receive patients within 7 days.

He also dissolved the Cabinet’s Adhoc Committee on Health and Inter-Ministerial Technical Committee on Government Response to the coronavirus outbreak.


China Southern Airlines suspends flights to Kenya amidst coronavirus
Two days after resuming flights from China to Kenya, China Southern Airlines has again suspended flights to Nairobi amidst a public outcry over the coronavirus.

The airline, according to a statement from the Chinese Embassy in Kenya has cancelled flights not because of the coronavirus but due to “decreasing volume of passenger flow.”

“Due to the decreasing volume of passenger flow, China Southern Airlines has made necessary adjustments by suspending flights connecting Guangzhou, Changsha and Nairobi until further notice,” read a statement posted on the embassy’s Twitter page.
 
Dah, kweli Jf huwa ipo updated. Hata dakika 30 hazijaisha tangu nione habari hizi, kuhusu maamuzi haya ya mahakama kuu. Hongera kwa LSK kwa kuwasilisha hoja hii mahakamani. Kazi kwenu, mahakama za Tz na Ethiopia. Wafanye hima bana, wengine wetu bado hatujachoka na maisha. Alafu ni laana kubwa kitamaduni kwa baadhi yetu kuenda ahera kwasababu ya ugonjwa au virusi ambavyo vimetoka kwa samaki na sijui nyoka. Ingekuwa ni tishio la magonjwa ambayo yametoka kwa mbuzi na ng'ombe tungesema ni mapenzi ya Maulana. [emoji1]
 
Baada ya vuguvugu kuwepo kuingia kwa wachina wengi katika nch za afrika mashariki ikiwemo kenya na tanzania kwa kisingizio cha utalii huko kenya mahakama yapiga marufuku safari za ndege kutua kutoka china. video ipo YouTube.!

Hali inaonekana ni tofauti kwa tanzania ambayo inaonekana kusifia ongezeko hilo la wachina kwa kivuli cha utalii.

Maoni yangu: Waziri wa afya Tanzania na waziri wa utalii nawakumbusha tuu hili jumba bovu mnalojigamba kuliezeka na bati za msauz litawaangukia soon.
IMG_20200228_152423.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20200228-151554.jpeg
    Screenshot_20200228-151554.jpeg
    51 KB · Views: 4
Influenza,
Afrika ni shida sana kila kitu, yaani watu washashuka ndege washatawanyika kila mmoja upande wake halafu unaagiza watafutwe kila mmoja aliko waekwe quarantine, upumbav wa hali ya juu sasa kile inachohofia si kitakuwa kishatokea kwa watu.
 
Huo ndio Ukenya, bora ufutwe kazi upoteze mshahara ila sio unaacha nchi iangamie, subiri uone tutakavyo badilisha maisha yake kama kweli yeye kawaumbua, tunamchangia mahela hadi achoke.

Nyie nyie mnaopewa msaada wa msosi kutoka uarabuni ndio mtamchangia mapesa?hahahah
 
Mahakama kuu ya Kenya imesitisha kwa muda ndege zote kutoka China kuja kufuatia kesi kuhusu coronavirus iliyowasilishwa na chama cha mawakili wa Kenya.

Shirika la ndege ya China


Akitoa hukumu yake Ijumaa jaji James Makau amemuamrisha waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang’i na waziri wa zamani wa afya Sicily Kariuki kuwatafuta abiria wote 239 waliowasili nchini kutoka China kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyata mnamo Februari 26, na kuwatenga katika hospitali ya kijeshi.

Huku hayo yakijiri Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa agizo la rais kuhusu virusi vya corona kufuatia malalamiko ya umma kutoka kwa Wakenya kuhusiana na jinsi serkali inavyoshughulikia virusi hatari vya corona ambavyo vinaendelea kutikisa mataifa duniani.

Katika agizo lake bw. Kenyatta anataka kamati ya kitaifa ya kushughulikia hali ya dharura kushughulikia mlipuko wa coronavirus.

Rais pia ameamrisha kukamilishwa kwa kituo cha kitaifa cha kuwatenga na kuwatibu wagonjwa mjini Nairobi katika kipindi cha siku saba.

“Kenya ni lango kuu la usafiri wa kimataifa, ikiwa na asilimia 70 ya wasafiri wa kimataifa wanaopitia nchi hii kuelekea mataifa mengine, hivyo basi ipo hakaja ya kuimarisha hali ya tahadhari ili kudhibiti hatari ya kusambaa kwa coronavirus nchini Kenya kutoka mataifa mengine ambayo yanakabiliwa na mlipuko unaoendelea wa maradhi yanayoathiri mfumo wa kupumua” ilisema agizo hilo la rais nambari mbili la mwaka 2020.

Uhuru Kenyatta
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

Katika kile kinachoonekana kujibu malalamiko ya umma kuhusiana na jinsi serikali yake inavyoshughulikia suala hilo, Bw. Kenyatta amekiri kuwa “kuna haja ya kupatia kipaumbele suala hilo kwa maslahi ya umma kwa kuimarisha viwango vya tahadhari Kenya na kuongeza juhudi za kukabiliana na kudhibiti mlipuko wa virusi vya corona ambavyo vimekuwa janga la afya la kimataifa .”

Siku ya Ijumaa magazeti ya Kenya yameangazia kwa kina ghadhabu ya Wakenya baada ya serikali kuruhusu ndege kutoka China kutua nchini.

Hatua hiyo pia imelalamikiwa sana katika mitandao ya kijamii baada ya kuwasili nchini siku ya Jumanne, ambapo ndege ya shirika la Southern kuruhusiwa nchini ikiwa na abiria 239.

Saa kadhaa kabla ya hatua hiyo, maafisa wa Kenya walikuwa wame tangaza kurejelewa kwa safari za ndege kuenda China, licha ya hofu ya kusambaa kwa virusi vya Covid-19.
 
Ni corona, corona ...
Mahakama kuu imeamuru abiria 239 waliowasili nchini kutoka China watafutwe na kuwatenga katika hospitali ya kijeshi.

Hakuna kumuonea mtu haibu kisa katoka kwa wakoloni, nchi lazima isimame kwa kauli moja.

Jamaa wameripoti pia hapa.
https://bbc.in/2Vxapro
 
Kwa ufupi tu:
Mahakama kuu ya Kenya imesitisha kwa muda ndege zote kutoka China kuingia nchini humo kufuatia kesi kuhusu coronavirus iliyowasilishwa na chama cha mawakili wa Kenya.

Akitoa hukumu yake Ijumaa jaji James Makau amemuamrisha waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang'i na waziri wa zamani wa afya Sicily Kariuki kuwatafuta abiria wote 239 waliowasili nchini kutoka China kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyata mnamo Februari 26, na kuwatenga katika hospitali ya kijeshi.

Huku hayo yakijiri Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa agizo la rais kuhusu coronavirus kufuatia malalamiko ya umma kutoka kwa Wakenya kuhusiana na jinsi serikali inavyoshughulikia virusi hatari vya corona ambavyo vinaendelea kutikisa mataifa duniani.

Source: https://www.bbc.com/swahili/habari-...at_custom1=[post+type]&at_custom3=BBC+Swahili

Bongo sijui tunasubiri nini



Waache waje huku kwetu tunahitaji hiyo foreign currency - in Mayala's Voice
 
Ujinga tu na kufwata mkumbo, kama wanashindwa hata tu kuzuia kipindupindu, Malaria au hata nzige tu, wataweza viral pandemic? Kwanza sidhani hata kama Kenya nzima kuna Virologist yoyote wa maana, wao wangejikalia kimya tu kama sisi na kuangalia movie inavyokwenda.
 
Safi kabisa
Ni corona, corona ...
Mahakama kuu imeamuru abiria 239 waliowasili nchini kutoka China watafutwe na kuwatenga katika hospitali ya kijeshi.

Hakuna kumuonea mtu haibu kisa katoka kwa wakoloni, nchi lazima isimame kwa kauli moja.

Jamaa wameripoti pia hapa.
https://bbc.in/2Vxapro

Jr[emoji769]
 
Tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaa

Please nawasapoti ila hili la wachina aseee please My country do something.


Please
 
Influenza,
Afrika ni shida sana kila kitu, yaani watu washashuka ndege washatawanyika kila mmoja upande wake halafu unaagiza watafutwe kila mmoja aliko waekwe quarantine, upumbav wa hali ya juu sasa kile inachohofia si kitakuwa kishatokea kwa watu.
Mwanzo waliambiwa wakifika nyumbani ndio wakajitenge na familia zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom