Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Mkuu Ikena hii ni ya pili ya mwaka jana tumeiona, Bado tunatafuta muafaka kati yako na MWL.RCT
Nafikiri kwa mwaka juzi na mwaka jana tumesoma maelezo dhidi ya tishio la KOVID19 kwa biashara ya mtandaoni.
Sasa nategemea mkuu MWL.RCT atuambie leo ni AUGUST 1, 2021 suala la biashara mtandaoni kwa Mataifa ya Asia, America na Ulaya wao wameamuaje mpaka sasa?
Je, wewe mkuu MWL.RCT una-clear vipi tuhuma na malalamishi ya wateja wako akiwemo Ikena anaye lalamika kwamba haujampatia refund?