High Court temporarily suspends all flights from China amid Corona Virus. Uhuru issues Executive Order on coronavirus, sets up taskforce

Mungu atuepushie mbali hili balaa la CORONA, virusi hivi kwa sasa vinasambaa kwa kasi sana tumesikia huko Italy umeua na baadhi ya nchi za Arabuni.Kuna tetesi kuna Wachina walioathirika na virusi vya corona wameingia nchi jirani ya Kenya na msako wa kuwatafuta unaendelea,wakati Kenya wakiendelea na msako huko Nigeria nako kuna taarifa zinasema virusi hivyo vimetua huko. Kwa hakika ni janga la Kimataifa nini kifanyike?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wala usiwe na hofu Boss, kila baada ya miaka kadhaa ni lazima litokee janga litalowafanya watu wapungue lakini pia akili zikae sawa!

Hili letu mkuu, katoe ile akiba tugawane tu!
 
Eti wanawasaka! Wakati wanaingia mlikuwa wapi! Uzembe poor Africa
 
Mbwa wetu wanafurahia watalii kuongezeka kutoka China....... Maombi yangu ni kuona mgonjwa wa kwanza anakua jiwe basi ntafurahi sna snaaaa....
 
New cases nyingi kwa sasa zipo South Korea, Italy na Iran, kuwakataza wachina halafu kuruhusu watu kutoka nchi hizo tatu inaonyesha mlivyo wajinga na wabaguzi.

Nigeria, Uarabuni na Ulaya wamepata maambukizi makubwa kutoka nchi hizo tatu, Italy, Iran na South Korea, muda utaongea ila Kenya wanafanya maamuzi kwa hisia badala ya kwa data.
 

Unaonyesha ulivyo mjinga kwa kujibu kihisia bila kuzingatia data, China ina confirmed cases zaidi ya 74,578, ndio taifa pekee dunia yenye mikoa iliyowekwa kwenye quarantine, mataifa yote duniani sasa hivi kila anayeingia kwenye nchi yoyote kama ametokea Uchina, anawekwa kwenye quarantine, hilo tumeona hata kwa rais wa Mongolia na wapambe wake waliporudi nyumbani.
Nyie tu ndio bado mnapokea Wachina kiholela kisa vihela vyao vya utalii, umaskini ni laana....

 
Sasa hao wakorea na waitaliano wamepata hivyo virusi kutoka wapi, kama sio kwa wasafiri wanaotoka China? 😀 Kule Marekani haingii mtu kutoka China isipokuwa raia wa marekani ambao wana jamaa na ndugu zao ndani ya nchi hiyo. Tena quarantine ya siku 14 ni lazima. US bars foreigners coming from China for now over virus fear Leo Trump amewapa ushauri wamarekani wasisafiri kuenda China. Wachina wenyewe hawakubali raia wenzao kutoka mkoa wa Hubei(chimbuko la corona), kuingia kwenye hoteli zao, kwenye teksi zao n.k. ndani ya nchi yao!
 
Mkuu sisi TZ tuna yataka majanga wenyewe.
Tanganyika Law Society na Zanzibar Law Society wao wako makini au haraka kwa mabo ya kisiasa tu, inapofika kwenye mambo muhimu kama haya hatuoni umakini na uzalendo wao.
 
Kwa hili la TZ kupokea watu kutoka China nimeshangaa umakini wa Mh. Magufuli upo wapi kwa jambo hili?
 
Hizo ni cases za zamani, angalia new cases hiyo ndio indicator sahihi ya ugonjwa unasambaa kwa kiasi gani, kwa lugha nyepesi ni ugonjwa umelipuka China ila kwa tayari wameudhibiti ndio maana new cases zimeshuka hadi around 200 kwa sasa wakati South Korea na Italy wanapata case nyingi mpya zaidi ya China kwa sasa.
 
Umakini upi na wakati kodi inatafutwa...kodi ni muhimu sana kuliko maisha yetu ..
Wao wana uwezo wa kuondoka nchini na familia zao kwenda kujificha mahali, jiulize maskin wewe mwingine
Kwa hili la TZ kupokea watu kutoka China nimeshangaa umakini wa Mh. Magufuli upo wapi kwa jambo hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya wamepanic kama kawaida yao haya mafua ya ndege yanaua mizungu na vichina tu.
 
Umakini upi na wakati kodi inatafutwa...kodi ni muhimu sana kuliko maisha yetu ..
Wao wana uwezo wa kuondoka nchini na familia zao kwenda kujificha mahali, jiulize maskin wewe mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Watajificha wapi wakati huko duniani kote kume enea COV19?
Marekani kwenyewe washaanza kudondoka na hii kitu hadi Trump katoa hotuba kuwatuliza raia wake.
 
BADO HAPA KWETU PIA WAFUNGIWE WASIJE KWA MUDA.. ILE VIDUDU KWA WATU WENYE HALI KAMA ZETU HIZI TUTABANWA SANA
 

Kwa kweli nilishangaa sana hawa wanasiasa kumbe hawana huruma na wananchi. We unaruhusu Wachina kisa ati mnatafuta pesa Wakenya wakati mwingine bwana? Nimeipa Heko Mahakama Yenu Mungu awanusuru na hawa wanasiasa Balaa.
Na si mnakesha kwenye mitandao ati mnaisifu siasa za Kenya kuwa ziko kiwango cha juu wakati ni udikteta mtupu.
Mtu anatoa taarifa kwa kuwaokoa wengine halafu anafukuzwa kazi [emoji1552]‍♂️ ni akili hiyo? Serikali yenu ina tofauti na Communist?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…