High heels make women look good

High heels make women look good

😀😀

afrodenzi kwa nini jamani!, ukizijulia hazikupi shida.
Kuna mahali pake.
Sasa unakuta barabara zimejaa kokoto au
Mtu bado hajui kutembea na heels properly lakini
Ananunua kisigino kirefu badala ya kuanza na kifupi kwanza.
 
Yeah, kwenye kokoto au mchangani noumer, sole kuingia mchangani au kiatu kwenda upande vitakuhusu. Hata kukaa mahali muda mrefu kama sio open toe lazima utakuwa uncomfortable. Flats kwa pembeni muhimu, kuokoa jahazi.
 
Teh kwa kweli kokote nitakapokuwepo na heels zangu, Shurti flats ziwepo pembeni. Kuna sehemu hukawii kuvunja milonjo lol
 
  • Thanks
Reactions: kui
Binafsi napenda sana demu aliyetupia kitu cha high heels. Hata wakati wa kupiga game heels zinasaidia kubalance styles hasa kwa sisi tusiohusudi style za kulazana sana kitandani
aiseeeee,hahahahahahahahah
 
Nkinunua gari ntatafuta twisheni ya kuvaa heels
ila inategemea pia na aina ya miguu. Miguu mingine imebinukia ndani unakuta mvaaji anashindwa hata kutembea, anahangaika badala ya kutembea kama twiga anatembea kama kware anapakuapakua huku heels zikifyatukia ndani ya uekeleo wa matege. wengine tumiguu ndo hivo tena kama spoku za baiskeli. shida tu.
 
Hahahahaha

Hii kali kuliko ya Paulo
 
Back
Top Bottom