High heels make women look good

Ushapigwa 'ban' tena?
 
Exactly, that aint confidence at all, yule mwanamke ni kichaa of the sort kwakweli
 
Reactions: kui
Mie naprefer wedges zaidi, aisee high heels najihisi kama ngongoti[emoji134]
 
Hahaha navyopenda ungongoti ndugu yako wakati ninao tu wa kutosha naturally Koh Koh Koh. Yani wedges hata kujaribisha sijawahi kabisa, napenda tu kuona mtu mwingine avae sio mimi.
 
Toto la kinyaki tena[emoji12] [emoji12] [emoji12] msalimie sana baba yako, mwambie huyu mcheza mpira soon namleta tusaidiane maana sio kwa mateke haya[emoji134]
 
Haha na sura + shape ya mjomba, ukiongezea na mguu wangu kama muwa wa mtibwa teh teh

Teh dogo nahisi kafata matege ya sista ake, ntamkataza asicheze football sitaki vigimbi
 
Lakini nanihii si ipo? Yaani zile tv zetu za Phillips....si Samsung plasma
 
Haha na sura + shape ya mjomba, ukiongezea na mguu wangu kama muwa wa mtibwa teh teh

Teh dogo nahisi kafata matege ya sista ake, ntamkataza asicheze football sitaki vigimbi
Teh teh teeeeh!! Ila ulishasema confidence inakulinda so no problem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…