Paul ujue tunasemaga "unafanya kitu roho inapenda", before kuangalia watu watajudge vipi unachokifanya. Kupendeza kunaanzia ndani ya mtu binafsi. Nikivaa heels nikaamini nimependeza ndo napata confidence ya kujishaua barabarani hata kama hamtonisifia teh. Ila nikijihisi sijapendeza nakuwa mnyonge, hata kama utaniambia HS umependeza ile mbaya mmh sitoamini wala haitoboost confidence yangu. Salama anaweza akavaa heels kabisa na akatokelezea but Sidhani moyoni mwake kama anawazia heels. Tumemzoea vile kwa sababu ndo ameamua kuwa vile.
Kujijulia mwili ni vizuri of coz, ila kuna watu labda madera tu ndo yanafit shape zao , so unataka wasipige skinny jeans wenzio? Anakufa tu na fashion lol. Ukiwa comfortable na mwili wako unarock chochote na confidence unakuwa nayo, tutakushangaa ile mwanzoni but eventually tutakuzoea tu. Kuna watu wana shape nzuri na wanavaa wanapendeza but hawajaamini. Hata ukimsifia atakuuliza "kweli nimependeza?", haifai. Yes confidence is not everything, but it's the most attractive quality a person can possess. Confidence is Sexy..
Me Ukiona sivai kitu/ nguo fulani, ni kwa sababu tu sipo comfortable nayo, hata Nikivaa sitofeel kama nimependeza na automatically sitokuwa na confidence ya kujishebedua. Umenichekesha na J's zako teh, em tupia siku moja nikuone. Me nina tatizo na wedges yani mmmh no way