High income skill

High income skill

Davives

Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
18
Reaction score
19
Ni skill ipi yenye kipato kirefu naweza kujifunza ndani miezi sita nikajifunza na kuanza kufanyia kazi kwa miaka ya hii ya sasa.

Naomba iwe ni progressive skill yaani ikifika 2030 niwe niwe proffesion kwa sababu nitakuwa nimeimaster kwa kiasi kikubwa. Natanguliza shukrani wakuu.
 
Digital marketing
 
Artificial intelligence labda.
 
Video editing short form and long form content
Mbona mimi sina hizo hela,nipo tu uswahilini napigwa na Jua.shida wabongo wengi hawajali wanalalia sana wanataka kitonga,ukimwambia mmbongo hiki kitu kinatakiwa kuwa hiv anazunguka wee ili kukwepa cost mwisho wa siku mnakuja kulaumiana tu bora atafute fani nyingine.
 
Sawa deals zake zipoje na naitumia vipi

AI imekujibu hivi...

To earn money from AI, you can utilize its capabilities in various fields like content creation, digital marketing, translation services, app development, data analysis, and even art generation, by offering services like AI-powered writing, social media management, SEO optimization, AI-generated artwork, chatbot development, and more, essentially leveraging AI to automate tasks and enhance the quality of your offerings for clients.
 
Mbona mimi sina hizo hela,nipo tu uswahilini napigwa na Jua.shida wabongo wengi hawajali wanalalia sana wanataka kitonga,ukimwambia mmbongo hiki kitu kinatakiwa kuwa hiv anazunguka wee ili kukwepa cost mwisho wa siku mnakuja kulaumiana tu bora atafute fani nyingine.
Unafanya video editing??
 
Back
Top Bottom